Mimi sisemi tabu zangu😪Yeah sure kabisaa aisee. Juz nilikua namsikia mzee wangu analalamika kwenye certificate ya malipo aliyoomba kulipwa, out 0f 235M wamemuingizia only 28M ma mradi wa barabara umesimama
Kusema za ukweli kwenye suala la suppliers angalau Magufuli alijitahid sanaaaa kuwapa kipaumbele kama kazi zimenyooka. Huyu mama mmmhhj!!!Mimi sisemi tabu zangu😪
Siwaamini wote wawili!Eti Mama ndiye anashutuka! washauri wako wabaya. Mungu ameshapiga nyundo Raisi Samia too late umejiweka mwenyewe kwenye mazingira haya
View: https://www.youtube.com/live/CmYthkEFnmI?si=oHy3mVK8RZUyxff6
Washauri kina Bulembo, Luwavhi na yule mzanzibari. Kwa Dunia ya Leo unadhani Kuna la maana hapo kama sio kumjaza mambo ya majungu na uloziEti Mama ndiye anashutuka! washauri wako wabaya. Mungu ameshapiga nyundo Raisi Samia too late umejiweka mwenyewe kwenye mazingira haya
View: https://www.youtube.com/live/CmYthkEFnmI?si=oHy3mVK8RZUyxff6
Eti Mama ndiye anashutuka! washauri wako wabaya. Mungu ameshapiga nyundo Raisi Samia too late umejiweka mwenyewe kwenye mazingira haya
View: https://www.youtube.com/live/CmYthkEFnmI?si=oHy3mVK8RZUyxff6
Vya msingi vimeshafanikishwa itaanza siasa Sasa ya ku level the ground na kuondoa matope...Tunaoga baada ya kazi nzito kumalizika😢Why now...🤔
Hivi Samia akikumbuka ile ibara ya Katiba iliyomwezesha kupata urais atakuwa anajisikiaje.Eti Mama ndiye anashutuka! washauri wako wabaya. Mungu ameshapiga nyundo Raisi Samia too late umejiweka mwenyewe kwenye mazingira haya
View: https://www.youtube.com/live/CmYthkEFnmI?si=oHy3mVK8RZUyxff6
Hakwenda kama Mwabukusi alienda kitaasisi.Mbona kama anaongea kilaini sana. Angekuwa anaongea hivi siku zote angeshapewa hata uwaziri wa Sheria.
Ubishiubishi haulipi
Muhutasari wa maelezo yake watu tujitokeze kusikiliza kampeni na kupiga kura.
Pia wanayo nafasi kwenye maisha