Niliwahi kusumbuliwa na maumivu ya jino nikajudanganya jino linamaumivu makali kuliko macho, siku niliposumbuliwa na macho nikasema afadhali ya jino.
Yote Tisa, kumi ni niliposumbuliwa na maumivu ya sikio.....aseeee sikio linauma acheni baaana!!. Unaskilizia maumivu ya sikio hadi unapoteza muelekeo na balance ya mwili.
Binadamu tumeumbiwa kusahau
Ni Noma hayo maumivuNa bado hujapata maumivu ya kufukuzwa kazi kama ukiipata
Kabisa brotherNi Noma hayo maumivu
Mungu mwema sana, asante nduguPole sana mkuu
Kwa sasa yote yalipona?
Duuuhnshavuka kuumia awe mke wala nyegere mke labda mbamizwa ndege cc secretarybird
Hakika, vijana mnateseka sana.Kiukwelii tangia nizaliwee sijawahii kuhisi maumivu kama siku ambayo nilifanya interview mbili kwa siku moja pale Dodoma kipindi hicho mambo ya kufanyia online hayajaanza usiku saa mbili nipo zangu lodge nakutana na NOT SELECTED zote moja nimepata 49 na wamechukua hadi 50 na hapo nimetokea SONGEA hadi Dodoma.
Maumivu niliyoyasikiaa sijawahii kuyasikia tangia nizaliwee ila namshukuru Mungu hatimaye nilikuja kupata kazi kupitia ajira portal lakini yale maumivu sitokuja kuyasahau
duduke hujambo verbose?Duuuh