Eti Mapenzi yanauma? Hivi mnajuaa maumivu ya NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW AJIRA PORTAL nyie?

Unayajua maumivu ya tumbo la kuhara mkuu?
 
Maumivu yote hayo unaweza kwenda hospital ukatibiwaa lakini maumivu ya NOT SELECTED hayana tiba
 
Hauko peke yako, nmefanya interview 2 za BOT last weekend nilikua Mbeya na zote zimesoma "Not selected for oral interview" kudadek hapa niko nalewa siku ya 7 ya wiki nipo Bar na lewa nikiwa na andika hii c

Mkuu inaumiza sana hasa unapokosa maksi 1 tu very painful
 
Hauko peke yako, nmefanya interview 2 za BOT last weekend nilikua Mbeya na zote zimesoma "Not selected for oral interview" kudadek hapa niko nalewa siku ya 7 ya wiki nipo Bar na lewa nikiwa na andika hii comment.
Pole sana inaumiza mkuu, ila kubali tu yaishe usonge mbele kwa fursa nyingine
 
Pole sana
 
Sikio πŸ™ŒπŸ™Œ
Jino nimeumwa
Jicho pia, ila sikio πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‚ litengwe, kumbuka linauma ndani huwezi hata kugusa oyaa
 
Nakumbuka NILIPATA supp ya 39 somo moja, na huyo lecture ukisupp hiyo ni carry automatic πŸ˜‚πŸ˜‚
Ilibidi ni appeal bachelor yenyewe miaka minne na Mimi nilipost pone.. shule ilinichosha kbs
 
Nakumbuka NILIPATA supp ya 39 somo moja, na huyo lecture ukisupp hiyo ni carry automatic πŸ˜‚πŸ˜‚
Ilibidi ni appeal bachelor yenyewe miaka minne na Mimi nilipost pone.. shule ilinichosha kbs
Noma na nusu
 
Maumivu niliyoyasikiaa sijawahii kuyasikia tangia nizaliwee
Mkuu umewahi kubanwa na zipu kwenye ngozi ya pumbu? Yaan ile unafunga tu zipu ikapita na ngozi ya pumbu ikabanwa hapo kurudisha chini huwezi kurudisha juu huwezi umenasa hapo umewahi?
 
Maumivu ya muda mfupi, ila omba sikio lisikuume utakuja hapa kuongezea nyama kwenye comment yanguπŸ˜€πŸ˜€
Limewahi kuniuma na ikapita hivyo bila shida wala halitishi ndio imekuuliza maumivu ya kubanwa na zipu kwenye pumbu hayavumiliki unahisi km unapaa angani unahisi km umekaa kumbe umesimama
 
Sikio πŸ™ŒπŸ™Œ
Jino nimeumwa
Jicho pia, ila sikio πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‚ litengwe, kumbuka linauma ndani huwezi hata kugusa oyaa
Sikio ni habari nyingine, unatamani kichwa wakikate kitupwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…