Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Market capitalization ina uhusiano gani na money printing ?
Ila Baadhi ya watanzania tunapenda ushabiki wa kijinga ama kitoto.
Mtu mzima unawezaje kuandika makala ya namna hii.
Hivi nani aliekuambia china na Urusi kazi Yao ni kushindana na USA?
Ama nani aliekuambia USA kazi yake ni kushindana na akina Urusi na china?
Kimsingi Kila nchi kati ya hizo na hata nchi nyingine zipo kujitafutia maendeleo yake,isipokua inatokea nchi moja inakua na uchuni mkubwa kuwazidi wenzake lakini sio kimashindano.
Cha ajabu utakuta nchi hizo ambazo wewe unaziona zinashindana utakuta zinafanya biashara ama zinashirikiana katika sekta Fulani.
Wajibu wa nchi yoyote hapa duniani ni kuwapatia maendeleo wananchi wake.
Hebu punguzeni ushabiki Kila sehemu.
China ana haki ya kujitafutia maendeleo,Hali kadharika Urusi na hata Marekani bila kuangalia nani anafanya Nini.
Nikikumbuka kipenzi chetu Imaam Hussein alivyouwawa kikatili kuulinda na kuutetea uislamu ninalia sana.
Narudia tena na tena mchina, Russia bado
Kinyooonge sana kweli ni ngumu kubishana na nambaIla Baadhi ya watanzania tunapenda ushabiki wa kijinga ama kitoto.
Mtu mzima unawezaje kuandika makala ya namna hii.
Hivi nani aliekuambia china na Urusi kazi Yao ni kushindana na USA?
Ama nani aliekuambia USA kazi yake ni kushindana na akina Urusi na china?
Kimsingi Kila nchi kati ya hizo na hata nchi nyingine zipo kujitafutia maendeleo yake,isipokua inatokea nchi moja inakua na uchuni mkubwa kuwazidi wenzake lakini sio kimashindano.
Cha ajabu utakuta nchi hizo ambazo wewe unaziona zinashindana utakuta zinafanya biashara ama zinashirikiana katika sekta Fulani.
Wajibu wa nchi yoyote hapa duniani ni kuwapatia maendeleo wananchi wake.
Hebu punguzeni ushabiki Kila sehemu.
China ana haki ya kujitafutia maendeleo,Hali kadharika Urusi na hata Marekani bila kuangalia nani anafanya Nini.
WB na IMF walishatoa takwimu kuwa uchumi ushahamia kwa China.Uchumi wa Dunia bado uko mikononi mwa Marekani.
Tutarajie mabadiliko kidogo labda kuanzia 2050 huko. Ila kwa sasa na kwa miaka kadhaa ijayo Marekani ndio bado anamiliki uchumi.
Unajua hata sijakuelewa,kwa sababu umeongea kwa mafumbo,huu ni mjadala wa wazi,hatuko hapa kubishana,Bali kuelimishana na kupashana habari.Kinyooonge sana kweli ni ngumu kubishana na namba
Kuna global financial crisis itaipiga kisawasawa US within 2025-2026 na pia nchi nyingine nyingi zitakumbwa nayo. The good thing about US ni kuwa kwenye upande wa ugunduzi wa high tech zinazorun dunia wapo mbele ya muda hao jamaa pia kwenye suluhu za matatizo ya kiuchumia pia hakuna nchi inawafikia halafu wana allies wa maana kabisaaa ambao wanaposhirikiana pamoja basi mambo yanakuwa mukideee.Uchumi wa Dunia bado uko mikononi mwa Marekani.
Tutarajie mabadiliko kidogo labda kuanzia 2050 huko. Ila kwa sasa na kwa miaka kadhaa ijayo Marekani ndio bado anamiliki uchumi.
Kwa sasa unaweza kuona kama vile China atapiga pesa kwenye biashara kuliko USA, USA huko kwenye kuzalisha phydical assets kama vile magari, machine alibahatika, kwa sasa kabila kwenye assets za silaha na ndege. Kwa sasa wamejikita kwenye online business whats app, facebook, twitter, Estergram, Google, microsoft, amazon n,k hivyo ndo vinavyoingiza pesa nyingi, yaani makampuni hayo kila second yanaingiza bilions of money tofauti na kuuza magari.WB na IMF walishatoa takwimu kuwa uchumi ushahamia kwa China.
Katika mali viwanda China anachangia 40% ya bidhaa zote duniani.
The most industrialized nation ni China.
Nchi pekee duniani iliyokopesha sawa na WB/IMF ni China.
Aya uchumi upi wa dunia uliopo USA!!??