hata hilo la kuganda maziwa ati usiponyonyesha kwa muda mrefu ni upuuzi......mbona ya ngombe hayagandi??? natunakamua asubuh na jioni....
hata hilo la kuganda maziwa ati usiponyonyesha kwa muda mrefu ni upuuzi......mbona ya ngombe hayagandi??? natunakamua asubuh na jioni....
hili mie silioni hata linaweza kutokea vipi
kwani baba si mkiwa kwenye kutenda tendo la ndoa si anayanyonya maziwa kidogo na kuyapunguza ..AU?
hili mie silioni hata linaweza kutokea vipi
kwani baba si mkiwa kwenye kutenda tendo la ndoa si anayanyonya maziwa kidogo na kuyapunguza ..AU?
Gaijin, hapa naona umegusa penyewe. hilo la maziw kuchafuka ni lugha tu ambayo wazee waliitumia
kujaribu kuepusha watoto kulala njaa kwani walijua kwamba kwenye "sega" lazima mtu mzima atanyonya chakula
cha mtoto na huenda akakimaliza. wazee walifikiria hilo ndio wakaja na zengwe la kuchafuka maziwa
Godii,
Itabidi tupeane uzoefu. Hivi wanaume wanakunywaga hayo maziwa.Najua wapo wanaoweza, ila ni wengi kiasi gani?
For me, ni kitu ambacho nilishindwa kabisa. Kilinikera na kunichefua roho.
si unajua haya masuala yanafanyika "mafichoni" mkuu hivyo sitakuwa mkweli nikisema kiasi cha wanywaji wa
chakula cha mtoto. hata hivyo kama asemavyo Gaijin, mpaka wazee wakaamua kuweka mkwara basi
uwezekano wa wanyonyaji hiyo chakula ya mtoto si wachache
hili mie silioni hata linaweza kutokea vipi
kwani baba si mkiwa kwenye kutenda tendo la ndoa si anayanyonya maziwa kidogo na kuyapunguza ..AU?[/QUOTE]
Mh we Gaijin we una mambo makubwa sasa baba atonyonyaje wakati ile ni kwa ajili ya mtoto.Mi siku moja katika infidelity zangu nilichukua mtu bila kujua kuwa ananyonyesha basi kwa fujo mwanaume huyo, nikalibugia na kulifyonza,wewe yalivyojaa mdomoni nilitamani kufa, sikuweza,kumeza ,sikuweza kila nikitafuta pa kuyatema sipaoni ikabidi niyatemee hapohapo kitandani na mchezo ukaishia hapo.Kwa hali niliyoishuhudia mimi sidhani kama kuna mwanaume mwenye roho ya kuyameza.

Afadhali wewe ulikutana na kama yaliyonikuta mimi (ila yako kali kidogo kwani ulibugia kwa infii!!!).
Mwenzio nilipewa na ma wife kwenye utani.
Ohhhh Man, you can't stand it.
Poa Godii,
Sikumaanisha kwamba wewe utupe uzoefu. Kwani siyo rahisi kwa mtu mmoja kukutana na wanawake kibao wanaonyonyesha (ingawa wapo wataalamu wachache wana unbreakable records), ila nilimaanisha kuwa tusubiri wadau wengine watupatie ushuhuda.
Binafsi siwezi kuyanywa!
Siku za hivi karibuni nimekumbana na kisa hiki. Rafiki yangu ananiambia mke wake hataki kushiriki nae kisa ananyonyesha. Hoja yake ya mke ni myth iliyoshamiri ndani ya jamii kwamba sperms huchafua maziwa na kudhoofisha mtoto!
Anahitaji msaada wa kitaalam, uzoefu na maoni ya wadau
Kinachoathiri mtoto ni mama au baba kula uroda nje ya ndoa.
Hapana shishi, kuna ukweli wa kisayansi. Usiponyonyesa kwa muda mrefu ni bora kukamua maziwa ukayamwaga. Yakibaki kwenye matiti yanaruhusu bacteria kuota na kuyachachisha pia inasababisha maambukizi. Hii uleta uvumbe kwenye matiti (mastitis) na inaweza kusababisha hata homa kwa mama.
Kinachoathiri mtoto ni mama au baba kula uroda nje ya ndoa.
Wee Teacher acha tu,
Tena wife alinipa ki-utani. Hata yeye alisikitika kwa kuwa nilijisikia vibaya. May be wengine wanapenda ila mhhh, nilikereka sana!
Hata hivyo niliwahi kusikia kuwa kuna wanaume wanawanyonya wake zao hadi watoto wanakosa mlo! ...But for me Big No. It never worked.