Eti Mchina naye anajitutumua kwa Mmarekani

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
USA amekamilika Kila idara. Uchumi unatisha, fedha yake ni lulu, technology usiseme, jeshi lake ni hatari, silaha ni balaa, wananchi wameshiba, yaani per Capita Yao sio ya mchezo mchezo.

Mchina ana lundo la watu maskini ETI nayo ANAJITUTUMUA. IGA ufe.

ETI na yeye anamutisha USA. Vichekesho
 
USA amekamilika Kila idara. Uchumi unatisha, fedha yake ni lulu, technology usiseme, jeshi lake ni hatari, silaha ni balaa, wananchi wameshiba, yaani per Capita Yao sio ya mchezo mchezo. Mchina ana lundo la watu maskini ETI nayo ANAJITUTUMUA. IGA ufe. ETI na yeye anamutisha USA. Vichekesho

Habari ndugu - kama huna usingizi kwa nini usipige piriton!!!!!!
 
USA amekamilika Kila idara. Uchumi unatisha, fedha yake ni lulu, technology usiseme, jeshi lake ni hatari, silaha ni balaa, wananchi wameshiba, yaani per Capita Yao sio ya mchezo mchezo.

Mchina ana lundo la watu maskini ETI nayo ANAJITUTUMUA. IGA ufe.

ETI na yeye anamutisha USA. Vichekesho
USA atawekwa mtu kati atapigwa mpaka achakae
 
USA amekamilika Kila idara. Uchumi unatisha, fedha yake ni lulu, technology usiseme, jeshi lake ni hatari, silaha ni balaa, wananchi wameshiba, yaani per Capita Yao sio ya mchezo mchezo.

Mchina ana lundo la watu maskini ETI nayo ANAJITUTUMUA. IGA ufe.

ETI na yeye anamutisha USA. Vichekesho
Hongera kwa kuanzisha sredi[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Aisee ni kweli kabisa, sasa tutabet nini na ligi zimeisha.
 
USA amekamilika Kila idara. Uchumi unatisha, fedha yake ni lulu, technology usiseme, jeshi lake ni hatari, silaha ni balaa, wananchi wameshiba, yaani per Capita Yao sio ya mchezo mchezo.

Mchina ana lundo la watu maskini ETI nayo ANAJITUTUMUA. IGA ufe.

ETI na yeye anamutisha USA. Vichekesho
KIJANA UMEKUNYWA WANZUKI NINI?🤔
 
USA amekamilika Kila idara. Uchumi unatisha, fedha yake ni lulu, technology usiseme, jeshi lake ni hatari, silaha ni balaa, wananchi wameshiba, yaani per Capita Yao sio ya mchezo mchezo.

Mchina ana lundo la watu maskini ETI nayo ANAJITUTUMUA. IGA ufe.

ETI na yeye anamutisha USA. Vichekesho
Kwenye per capita Us hata top 10 hayumo.
Masikini wako kila mahali hata US kuna raia hazina makazi ya kukaa.
Mchina ndiye ana GDP akiwa wa pili duniani, pia ndiye mwenye labor yenye skills kwa sasa.
Steve Jobs alisema na juzi juzi kasema Elon Musk.
Hatua alizopiga kwenye uchumi, teknolojia tena kwa muda mfupi Mchina siyo ya kubeza. Ndo maana kwa sasa Marekani anahaha kumfunga speed governor ana ana plan mahususi kwa ajili ya kupambana na mchina.
Ni jambo la kuchekesha anapokuja mtu kutoka Kimbiji akamkebehi Mchina wakati US yenyewe hata haimchukulii poa hata kwa bahati mbaya.
 
Marekani alishasema haya dhahiri, watu wanataka tu aonekane mwonevu.
 
China ndo taifa linalotakiwa kuji tutumua Sasa Kwa Marekani kwani ndo ndaifa linalo ikarinia Marekan kijeshi,kiuchumi na teknolojia
 
Siku zote ni ndoto ya wananchi wa China kuishi Marekani.Wamarekani wanaokwenda China ni Kwa sababu ya utalii na mambo mengine ya social Lakini sio Kwa sababu za kiuchumi.
 
Kwenye per capita Us hata top 10 hayumo.
Masikini wako kila mahali hata US kuna raia hazina makazi ya kukaa.
Mchina ndiye ana GDP akiwa wa pili duniani, pia ndiye mwenye labor yenye skills kwa sasa.
Steve Jobs alisema na juzi juzi kasema Elon Musk.
Hatua alizopiga kwenye uchumi, teknolojia tena kwa muda mfupi Mchina siyo ya kubeza. Ndo maana kwa sasa Marekani anahaha kumfunga speed governor ana ana plan mahususi kwa ajili ya kupambana na mchina.
Ni jambo la kuchekesha anapokuja mtu kutoka Kimbiji akamkebehi Mchina wakati US yenyewe hata haimchukulii poa hata kwa bahati mbaya.
Eti wana nataka kuzuia ushawishi wa china kiuchumi,

Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
 
USA amekamilika Kila idara. Uchumi unatisha, fedha yake ni lulu, technology usiseme, jeshi lake ni hatari, silaha ni balaa, wananchi wameshiba, yaani per Capita Yao sio ya mchezo mchezo.

Mchina ana lundo la watu maskini ETI nayo ANAJITUTUMUA. IGA ufe.

ETI na yeye anamutisha USA. Vichekesho

Ww huna akili,pesa yake, uchumi wake, technology yake,per capita ya wananchi wake nk,ilimsaidia nini Vietnam, Somalia, Afghanistan ambapo alipigwa na wachumba mbuzi ambao hawana hivyo vyote ulivyotaja.
 
Back
Top Bottom