USA amekamilika Kila idara. Uchumi unatisha, fedha yake ni lulu, technology usiseme, jeshi lake ni hatari, silaha ni balaa, wananchi wameshiba, yaani per Capita Yao sio ya mchezo mchezo. Mchina ana lundo la watu maskini ETI nayo ANAJITUTUMUA. IGA ufe. ETI na yeye anamutisha USA. Vichekesho
USA atawekwa mtu kati atapigwa mpaka achakaeUSA amekamilika Kila idara. Uchumi unatisha, fedha yake ni lulu, technology usiseme, jeshi lake ni hatari, silaha ni balaa, wananchi wameshiba, yaani per Capita Yao sio ya mchezo mchezo.
Mchina ana lundo la watu maskini ETI nayo ANAJITUTUMUA. IGA ufe.
ETI na yeye anamutisha USA. Vichekesho
Hongera kwa kuanzisha sredi[emoji41][emoji41][emoji41]USA amekamilika Kila idara. Uchumi unatisha, fedha yake ni lulu, technology usiseme, jeshi lake ni hatari, silaha ni balaa, wananchi wameshiba, yaani per Capita Yao sio ya mchezo mchezo.
Mchina ana lundo la watu maskini ETI nayo ANAJITUTUMUA. IGA ufe.
ETI na yeye anamutisha USA. Vichekesho
KIJANA UMEKUNYWA WANZUKI NINI?🤔USA amekamilika Kila idara. Uchumi unatisha, fedha yake ni lulu, technology usiseme, jeshi lake ni hatari, silaha ni balaa, wananchi wameshiba, yaani per Capita Yao sio ya mchezo mchezo.
Mchina ana lundo la watu maskini ETI nayo ANAJITUTUMUA. IGA ufe.
ETI na yeye anamutisha USA. Vichekesho
Kwenye per capita Us hata top 10 hayumo.USA amekamilika Kila idara. Uchumi unatisha, fedha yake ni lulu, technology usiseme, jeshi lake ni hatari, silaha ni balaa, wananchi wameshiba, yaani per Capita Yao sio ya mchezo mchezo.
Mchina ana lundo la watu maskini ETI nayo ANAJITUTUMUA. IGA ufe.
ETI na yeye anamutisha USA. Vichekesho
Nenda utoe na fungu la kumi, ili malengo yako yatimieUSA atawekwa mtu kati atapigwa mpaka achakae
Marekani alishasema haya dhahiri, watu wanataka tu aonekane mwonevu.USA amekamilika Kila idara. Uchumi unatisha, fedha yake ni lulu, technology usiseme, jeshi lake ni hatari, silaha ni balaa, wananchi wameshiba, yaani per Capita Yao sio ya mchezo mchezo.
Mchina ana lundo la watu maskini ETI nayo ANAJITUTUMUA. IGA ufe.
ETI na yeye anamutisha USA. Vichekesho
Eti wana nataka kuzuia ushawishi wa china kiuchumi,Kwenye per capita Us hata top 10 hayumo.
Masikini wako kila mahali hata US kuna raia hazina makazi ya kukaa.
Mchina ndiye ana GDP akiwa wa pili duniani, pia ndiye mwenye labor yenye skills kwa sasa.
Steve Jobs alisema na juzi juzi kasema Elon Musk.
Hatua alizopiga kwenye uchumi, teknolojia tena kwa muda mfupi Mchina siyo ya kubeza. Ndo maana kwa sasa Marekani anahaha kumfunga speed governor ana ana plan mahususi kwa ajili ya kupambana na mchina.
Ni jambo la kuchekesha anapokuja mtu kutoka Kimbiji akamkebehi Mchina wakati US yenyewe hata haimchukulii poa hata kwa bahati mbaya.
Vietnam na Afghanistan ilikuwajeMarekani alishasema haya dhahiri, watu wanataka tu aonekane mwonevu.
Vita ya Tanzania na Uganda !Hivi China amewahi kupigana vita gani kubwa
USA amekamilika Kila idara. Uchumi unatisha, fedha yake ni lulu, technology usiseme, jeshi lake ni hatari, silaha ni balaa, wananchi wameshiba, yaani per Capita Yao sio ya mchezo mchezo.
Mchina ana lundo la watu maskini ETI nayo ANAJITUTUMUA. IGA ufe.
ETI na yeye anamutisha USA. Vichekesho