K Kilemakyaaro JF-Expert Member Joined Jul 19, 2016 Posts 5,051 Reaction score 5,104 May 26, 2017 #121 Usijinyonge mkuu bora unywe kasumu na naahidi kukununulia
C CTX JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 1,273 Reaction score 985 May 26, 2017 #122 sasa sisi tufanyaje kama kinywa chako kinanukaa? na umeshindwa kuuutunza mdomo wako!!! halafu mtakuwa mmegombana nyie na leo amekufungukia la ukweliiiiiiiiiii
sasa sisi tufanyaje kama kinywa chako kinanukaa? na umeshindwa kuuutunza mdomo wako!!! halafu mtakuwa mmegombana nyie na leo amekufungukia la ukweliiiiiiiiiii
Certified Hater JF-Expert Member Joined May 14, 2017 Posts 1,760 Reaction score 3,733 May 26, 2017 #123 sasa kama akili ya kusafisha kinywa huna bora ujinyonge tuu