Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
- Thread starter
-
- #21
Binafsi nilitishiwa eti nitafeli olevo kisa mwandiko. Nikashangaa Yale Yale ya arts nikachomoka na Ma B ya kufanya MTU huku sayansi ndo kulichafuka AA mpaka nikashindwa kuzihesabu.Bure kabisa...eti huyu naye yuko chuo??!!
Kazi ipo kwa kweli..
achana nao, hapa kuna watu wa aina nyingi sana.Pole mkuu..
Kuna watu hapa badala ya kuangalia mantiki ama logic wao wamejikita kukosoa uandishi MIE sio mwandishi.
Mfano kama nimesoma maths tu huo uandishi Wa kupangilia content nitautoa wapi. Pia kuna mgawanyiko Wa kazi na vipawa mpaka MTU anavuka 25yrs hajajua Bado tuna safari ndefu.
Binafsi nilitishiwa eti nitafeli olevo kisa mwandiko. Nikashangaa Yale Yale ya arts nikachomoka na Ma B ya kufanya MTU huku sayansi ndo kulichafuka AA mpaka nikashindwa kuzihesabu.Wewe ndiyo unataka wasitoke dar ufundishe Dodoma?
Kwa uandishi huu hapana. Bora watoke huko huko Dar tu.
Mpaka wachawi,wezi,vibaka,majambazi,wenye roho mbaya,critics, negativity, positivist, matajiri,masikini, Malaya,watiifu,n.k wote wapo hapa so hatuwezi fanana akili.achana nao, hapa kuna watu wa aina nyingi sana.
Binafsi nilitishiwa eti nitafeli olevo kisa mwandiko. Nikashangaa Yale Yale ya arts nikachomoka na Ma B ya kufanya MTU huku sayansi ndo kulichafuka AA mpaka nikashindwa kuzihesabu.
MIE nawachora wakosoaji Wa uandishi kama umesoma arts sio wote ama wewe ni journalist sio lazima niwe kama wewe. Ama are you editor director of a magazine?
Please sipo hapa kwa akili ya uandishi mzuri na Sina haja ya kutafuta grade za uandishi mkuu Bali mantiki ama logic iweleke kwa watu wote Nina imani hata wewe imeeleweka sema tu serikali ya kichwa chako imeamua kuiona hilo.
Wala mkuu MIE ni kilaza Wa kawaida. Yaani unanisoma vibaya kaka/Dada .Mkuu utakuwa na ka complex kama jamaa mmoja mwenye mimacho kudhani yeye peke yake ndiye mwenye kujua mambo.
Huamini kwa nini waje toka Dar hali wewe upo.
Kwamba ukafaulu kumbuka siyo wewe peke yako au vipi?
Wlaa
Wala mkuu MIE ni kilaza Wa kawaida. Yaani unanisoma vibaya kaka/Dada .
Ivyo nimeonyesha kuwa kuna watu wanajali sana uandishi Kumbe kwa wengine uandishi sio kitu.
Pia nimetaka kujua kuwa ni kwa nini wazee wanabania sana vijana vyuoni kuhusiana na GPA.
Mie hata sio mhadhiri na hata sinusi huko.
Nina kula yangu kwa kweli nashukuru Mingi so haba nikitamani kula kitu Fulani unakuta karatasi IPO mfukoni nabadilishana nao napewa nachopenda kula.
Yule jamaa bana sio type kama MIE.
Ishu yangu Huyo jamaa akiwa anafundisha huko alikotolewa. Unajua ni kazi sana kumpa kijana A.
Pia kumbuka kuwa una uwezo Wa kutunga pepa wakafaulu ama wakafeli mkuu.
Sasa ni kwa nini watunge ili watu wafeli kwao ndo furaha yao.
Pia wao wameumia sana ama kukesha sana mpaka wakatengeneza mentality kuwa lazima kila MTU akomae.
Kama hujanielewa BASI tu. Labda Uzi haukuwa unakulenga wewe mana unaweza ukawa umejikita kuni crash tu ama kutaka kuonyesha uhasi.
Ujue kichwa chako kikiwa kihasihasi na wewe utakuwa unaona hasi hasi tu mkuu
Hakuna Nouma banaPole mkuu. Usichukulie personal. Humu jamvini mbona ni burudani tu.
Mchadema mwenzako lakiniWewe ndiyo unataka wasitoke dar ufundishe Dodoma?
Kwa uandishi huu hapana. Bora watoke huko huko Dar tu.
Ndio taasisi pekee ambazo watoto Lectures nao watakua Malectures piaNdicho nachoomaanisha kuwa ni lazima ujikombe jikombe kwao.
Bado hujazuiwa kuyapangilia vizuri ili yasomeke mkuu labda MIE ni kilaza Wa kupangilia mamboUmeandika mambo mengi bila mpangilio...
MIE nilijua na Europe America and Asia wanaenda Kumbe ni hapa hapa kwa masokwe mkuu.Hujui kuwa kuna malecturer wanatokaga hapa wanaenda kufundisha South Africa na wakati huo huo ni malecturer wa vyuo vya hapa hapa nchini.
Siyo jambo la kawaida lecturer kufundisha hapa akafundisha na nchi nyingine. Sasa kama hilo linawezekana basi siyo ajabu lecturer akafundisha UD akafundisha na UDOM tena mwingine akaongeza na sauti kabisaMIE nilijua na Europe America and Asia wanaenda Kumbe ni hapa hapa kwa masokwe mkuu.
Mana wao nilijua ni special case sana so nilitegemea ukaniambia hata huko duniani wanaendaga kama ni hukh huku gizani sawa.
Mkuu uwe mvumilivu na ujaribu kuelewa mtizamo wa watu wengine. Kupangilia mada yako ni kitu muhimu na cha msingi na haijalishi background yako. Umeleta mada unataka watu waielewe na kujibu.Bado hujazuiwa kuyapangilia vizuri ili yasomeke mkuu labda MIE ni kilaza Wa kupangilia mambo
Nimepata shida mno kumwelewa!!Kwa uandishi huo, kama wewe ni degree holder basi mnavyokaziwa ni sawa.