Eti mi mchoyo

huna haja yakumnunulia wala kukwepa kwenda kupata kaulaji kako kwa ajiliyake.akikwambia wewe mchoyo mwambie huna ndio maana anakuona mchoyo.kwaniyeye nibarabara kwamba atakuzuia kupita?acha kua mdhaifu kwa hawa viumbe kiasihicho
 
Sio kikanisa tu, niko married hivyo nilikuwa na refer kwa wale visiting professors? kimsingi kama ni kweli analalamikia hilo atachemsha.


On behalf of your wife, I am so proud of your stance Sangarara... Mungu akubariki uwe hivo siku zote. Labda siku moja moja uwe unaenda na wife ili atambue kuwa unagawa kwa sana tu, ila kwa yule ambae umemridhia...

BTW on a serious note, Wanadamu hawana shukrani. Hata kama alikuwa anamaanisha wewe ni mchoyo wa pombe ilikuwa haina haja ya kumnunulia pombe siku zote hizo hali yeye hajafanya hivo na wala hana mpango.
 
Ashadii, senki yu swit,hakika we si mchoyo "wa salamu", lol!

Swts mie sio mchoyo kabisaa wa salamu... lol Hata Manyanza hapo juu namsalimu sana, na kumwambia nilimkosa. You are welcome dear.
 
Last edited by a moderator:
duh honestly na mimi nna jirani mwanamke ananiambia hivyo hivyo
kila siku
Sangara unakaa Tegeta?
 
tayari sangara kikaangoni tayari kwa kukamuliwa ndimu na chumvi tumtafune.

Yaani kakupara magamba kirahisi hivi Sangarara??

yes kongosho. Sangara huyo aliwe kisha ageuzwe aliwe kotekote.
 
Last edited by a moderator:
tayari sangara kikaangoni tayari kwa kukamuliwa ndimu na chumvi tumtafune.

Yaani kakupara magamba kirahisi hivi Sangarara??

yes kongosho. Sangara huyo aliwe kisha ageuzwe aliwe kotekote.
 
Last edited by a moderator:
Yaani mie ndo hujanitumia salamu! Na bado, nitakusemelezea kwa kaka hadi ukome!
Mwaya mtoa mada, kama umemnunulia bia bado anakuita mchoyo, mkomoe umlipie kodi ya nyumba mwaka mzima. Kama keshajenga mjengee fence ama umnunulie ka-starlet!
 
Last edited by a moderator:
Huo ushauri wako kiboko! hahaha! Starlet nasikia ina tafsiri yake ukipewa zawadi... Enways...

Wewe wifi King mbona leo una hasira sana na mimi? Kisa tu nimekataa kukuazima skin tight? sasa nifanyeje kama sweet wifi sweetlady kaibania? lol

Mie hao juu nimewasalimu walio post kwenye huu uzi, kama hivi sasa ninavotuma salamu with love kwa The Boss ili azifikishe na kwa alter wangu Roulette... lol
 
Last edited by a moderator:
Ingekuwa mimi..
next time nafika kwa ki grocery na girlfriend wangu/mdada yoyote asiyemfahamu mida ambayo najua atakuwepo,nikiona amerudi hako ka kauli ka uchoyo mbele ya huyo mdada nitajua huyu mmama ni chapombe,nikiona kapotezea nitajua alikuwa anamaanisha mambo mengine..na kwa kuwa mm huwa sitoki na wa maza(sijui wewe) nitamuonesha kwa vitendo na vimaneno maneno kuwa sina interest naye.
 
ndugu,

ishi vile uwezavyo na si watu watakavyo......

Huyo mama yeye sio mchoyo? Keshakununulia beer?

Mzaha mzaha utaishia kitandani kwa mmama
...

Shauriyako........

haswaaa! ndiyo wataishia kudunguana hamna zaidi!!
 
Mama kashaelekea kibra...anataka apewe utamu maana wadudu wananyevuanyevua tayari
 
una lako unalitafuta kwa ivyo vibia vyako kwa uyo madam, na utakipata soon! kila la kheri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…