HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,567
Nashukuru kwa kuzipokea... Naomba basi msalimu na BelindaJacob kama wewe sio mchoyo... lol
huyo mama anataka nini zaidi? Mkuu sikia kengele tulia na wako maana sijaelewa hata huyo mama mazingira anayoishi kifamilia yako vipo ameolewa au ndio ile mijimama ya mjini?
On behalf of your wife, I am so proud of your stance Sangarara... Mungu akubariki uwe hivo siku zote. Labda siku moja moja uwe unaenda na wife ili atambue kuwa unagawa kwa sana tu, ila kwa yule ambae umemridhia...
BTW on a serious note, Wanadamu hawana shukrani. Hata kama alikuwa anamaanisha wewe ni mchoyo wa pombe ilikuwa haina haja ya kumnunulia pombe siku zote hizo hali yeye hajafanya hivo na wala hana mpango.
Mimi ndio natafuta tena???
Hali yangu namshukuru Mungu, ni mzima wa afya. Manyanza what of you, u hali gani?
Naamini na yeye hatakunyima alicho pewa na Mungu bure jiandae tu kufaidi kazi ya MunguNdo mana na mimi nikampatia ati.
Huyu mmama ni jirani yangu wa muda mrefu sana,zaidi ya miaka mitano sasa, kwa kipindi chote hicho uhusiano wangu na yeye zaidi ya ujirani umekuwa ni salamu tu. Mwanzoni mwa mwezi huu nyumbani kwa jirani yetu mwingine imefunguliwa glocery hivo imekuwa kawaida yangu kwenda pale ama kupiga fundo la mwisho kabla sijaingia home, au kuuweka kabisa na kutandika castle rites zangu za baridi.
Glocery hii ndio imesababisha mimi na huyu mama kuwa karibu zaidi, sababu mara nyingi tunakutano hapo, karibia kila siku nikienda lazima nimkute anakula bata au yeye atanikuta, na kama kawaida tumekuwa tunasalimiana tu na mpaka sasa haijatokea tukakaa japo meza moja, sasa recently kaanza kunitupia shutma kwamba mimi mchoyo mimi mchoyo, nikafiriki anataka bia, juzi nimemkuta nikamsalimia alipomaliza kuitikia akaniambia lakini nipunguze uchoyo, nikamtupia bia mbili, jana nikamkuta tena akarudia hiyo kauli nikamuambia mi sio mchoyo sema serikali ya jakaya imeharibu uchumi akanambia namsingizia, nikajitoa muhanga nikamuambia basi ye anywe tu bill ntalipa mimi, jana tena nimekutana nae karudia kauli ile ile, as if sijamuonyesha uungwana na utoaji wangu hata mara moja.
Kuna mshikaji niliyekuwa naye nilimueleza hii kitu katika kujustify kumlipia bill yule mama, akacheka na kuniambia kweli nimebadirika. ndo nikafunguka, hivi inawezakana kweli huyu mama akawa anamaanisha namnyima mambo yenu yaleeee

Belinda weeeeeeeee, belindaaaaaaa, uko wapi wewe! BelindaJacob unasalimiwa na AshaDii!