eti miss Tanzania 2011 ametuwakilisha vizuri

yakiisha hayo mashindano atarudi na kutoa misaada kwenye kituo cha yatima,atafungua mfuko wakusaidia watoto wanaoishi na vvu kisha jiiiiiiiiiiiiiiiii
kuonana tena mashidano yajayo itakapo kuwa zamu ya mwingine with the same story
 
Anyway, she is beautiful!! I have fallen in love with her.
 
yakiisha hayo mashindano atarudi na kutoa misaada kwenye kituo cha yatima,atafungua mfuko wakusaidia watoto wanaoishi na vvu kisha jiiiiiiiiiiiiiiiii
kuonana tena mashidano yajayo itakapo kuwa zamu ya mwingine with the same story
atamegwa megwa na vibosile
 
Damn, the girl is soo cute. I wish her all the best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…