Eti mke bora hutoka kwa mungu?


Orait Seto, kama wengine walivotangulia kusema hili ni swala la kiimani zaidi, kutegemeana na jinsi wewe unavyoamini na unavyomwamini Mungu wako. Haijalishi watu fulani wanafundisha nini si kazi yetu kohoji hilo, haijalishi wanasema uombe kwa jinsi ipi hio ni imani yao

Swala hapa wewe unataka mke wa jinsi gani na unaamini nini katika hilo, Je unaamini Mungu anaweza kukupa hitaji la moyo wako??

Kutoka na mimi ninavyoamini, Mungu anakupa mume/mke mwema kwa wakati sahihi. Na sio lazima ukutane nae kanisani au msikitini. Unaweza ukakutana nae baa, anaweza kuwa changudoa, anaweza kuwa jambazi, anaweza kuwa ktk mazingira mabaya sana lakini wakati wa Mungu ukifika anamtoa huko, anamleta kwako.

Mke mwema/mume mwema ni yule ambaye utaishi nae kwa furaha na amani. Mnaweza kuchukuliana madhaifu yenu, kushirikiana nae na nafsi yako ina uhuru nae.
 

mke asiye bora ni yule asiyekupendeza wewe, na kama hakupendezi wewe kuna mwingine atapendezwa naye hivyo bado ana nafasi yake ya kuolewa.
Mungu anatupenda wote na humpa mtu kile anachokiomba, kama umeomba upate mke mwenye tabia njema, utapewa huyo huyo, unataka mwenye sura nzuri mungu atakupa huyo huyo. Inabidi tumuombe mungu kile tunachostahili (what we deserve) na sio tunachohitaji(what we need) inawezekana tunastahili makubwa ila tunaomba madogo.

Tabia ya mtu hubadilika muda wowote, nafikiri tabia ulizokuwa nazo miaka 10 iliyopita inawezekana sio tabia yako uliyonayo sasa na inawezekana miaka 10 ijayo ikabadilika tena.
Kama mke atakuwa mapema, wa kulaumiwa anaweza kuwa yeye mwenyewe au mume au hata mazingira anayoishi yanaweza kuchochea.
 
kuna vitu vingine huwa haviuliziki...na huwa napata shida sana na mtu ambae huwa ana viuliza.....ahsante!

halafu unabaki:sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad:
 

haya ndugu, nimekusoma.
 
Cool Hus na LD..., Mmemaliza, na mnenijibu Vizuri Sana.... No Comment.. (Just Thanks)... Nimewakubali 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…