Eti mliopata wapenzi JF.......

Eti mliopata wapenzi JF.......

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Hivi kuna ukweli kwamba mliopata wapenzi jf mumesajiri ID nyingine??ili msigundulike kama mnachangia mada zakuwasononesha wapenzi wenu???je nikweli? Mawazo tafadhali.
 
Ukiona hivyo kunakitu maana weachatu!!!

duuuhh kwa hiyo we wadhani
wako humu humu
wanazinguana tu..

au wanatongozana tena hahahhaha lol
kweli umenichekesha leo ..lol
The Following User Says Thank You to KakaKiiza For This Useful Post:

afrodenzi (Today)​
 
Yeah tumebadilisha mpaka namba za magari! Wewe bado hujapata mpenzi JF?
 
Inawezekana. Hata ningekuwa mimi ningebadilisha.
 
Yeah tumebadilisha mpaka namba za magari! Wewe bado hujapata mpenzi JF?
Sina kabisa natamani hata kurudiana na my sweetheart wangu wazamani ila achatu.....mimi nikiwa naye sitabadili kwani nitakuwanaongea hisia zanguakisoma thread akaona inamgusa apotezee ila ajue sikuwa namzungumzia yeye!!
 
Kumbe kuna watu wamepata wapenzi humu!!! isee nami naanza tafuta rasmiiii
 
Maria Roza Kalagabao ila kuwa makini ukimtokea mtu akawii kukwambia nipo rio de jenairo!ukachoka mwenyewe hii ndiyo jf
 
Maria Roza Kalagabao ila kuwa makini ukimtokea mtu akawii kukwambia nipo rio de jenairo!ukachoka mwenyewe hii ndiyo jf

Aahahahaaa kama nikimpenda nitamfata aisee tuone huko Brazil:smile-big::smile-big:
 
Unaweza ukacheka hata kabla ujachekeshwa blasil??au dubai
 
Kakakiiza ukisha rudiana na huyu sweetheart wako utabidilisha ID? au uko radhi kumsononesha
 
Hivi kuna watu wanapata wapenzi wa kiukweli humu,tehe tehe tehe!!!
 
Back
Top Bottom