NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
NILHAM::
Kwani wewe huwezi kuwa MPENZI wange? Au MPENZI maana yake ni gani?
usibadili maneno hapa saa hii.... hapa mpenzi anayehusika ni mpenzi mpenzi...
Hewallah! Nimepata Mpenzi Mpenzi wawili!
ok na mpenzi mpenzi wako....may allah grow up ur loves and and may him make u three to b marrige in one day thats my dua.... sema inshallah ameen.:love::car: [
hujambo habibty?? akhbari yako?? :love:
alhamdulillah nilikumiss tuu.... :A S-rose::A S-rose::A S-heart-2::love::love:Sijambo dia hbr za wknd
hebu niunganishie kwa mmoja plz tena fasta
Mashallah!
mashallah! nini sasa??? na mi nakwambia useme ameen au umepatwa na kiwewe mwenzangu??
gooooood boy!!!!:A S thumbs_up:😛arty:Mash'Allah - Insh'Allah - Ameen
gooooood boy!!!!:A S thumbs_up:😛arty:
hiyo ngumu!! Mie nimempata wangu nitakuunganishaje mie sio muuza watu sawa
tatiana??? Pm zimenifanya nifahamiane nae!!!
Subhan'Allah - سبحان الله
i wos jus kidding dont tek me siriazly dia.
umenipa presure mwenzio aakkhh wewe lakini siku nyingine usirudie
Nilham:
Ana asif!
Nilham:
Ana asif!