Eti mliopata wapenzi JF.......

Ni muhimu kudadili ili kumpata mwingine mwenye vijisent vya kupunguzia ugumu wa maisha! c unajua kila kitu kimepanda sahiv! na kuna ATM nyingi sana humu JF! lazima tuzichakachue mwenzangu
 
Mh mwenzangu hiyo mi naiogopa aslani badili kinywaji bana, halafu hii posted vaya mobile hii toka w'end ndio umeamua kupitiliza mpaka leo
Closer Closer...
Savoy, Moro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…