Eti mliopata wapenzi JF.......

Hivi kuna ukweli kwamba mliopata wapenzi jf mumesajiri ID nyingine??ili msigundulike kama mnachangia mada zakuwasononesha wapenzi wenu???je nikweli? Mawazo tafadhali.
mmmhhh... nahc si pa kwangu hapa mie wa kukesha!!:love:
 
Nimepitia hapa kuwasalimieni..... leo mkoloni kanikamata kikojoleo.

Habari senyu binafsi kwa mpigo?

Babu anarudi kitandani..
 
unamuona Fidel anasema umchukulie bukta hapo savoy aliisahau?
hajui kuwa wewe unagonga mnyama hapo, kulala unalala kwa Maty.
Hahaha Fidel inawezekana aliota tu hakuna cha bukta wala nn!
 
Nimepitia hapa kuwasalimieni..... leo mkoloni kanikamata kikojoleo.

Habari senyu binafsi kwa mpigo?

Babu anarudi kitandani..
habari yake binafsi ya kinara wa kugongwa........baolohia imekamatwa?
 
Yani ukibadili ID tu unakuwa umegongwa, duh!
 
habari yake binafsi ya kinara wa kugongwa........baolohia imekamatwa?

We bana ushawahi kuona ukuta unmaangalia TV?
Ushawahi kuona TV inawashiwa kiyoyozi?
Ushawahi bebi kambisha mutu for five times within five awaz?

Kugongwa ni heri ya ngumi au makwenzi kwa watoto
Manake kuna the crapiest na kitu feki...hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…