Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Wanajuaje kuwa hii dushe imepitia kwa ngariba au hospitali kwa daktari? Hizo ni story za vijiweni tu.ukitaka kujua tofauti ya mwanaume alitahiriwa na ngariba na alipelekwa kwenye utandawazi waulize wanawake
Nakuona upo. Punguzeni ukatili kwa watoto.Tupo
Kwa hali ya kawaida kuna vitu vilipaswa kuwa havipo tena. Mangariba mlikuwa mnasaidia kipindi cha nyuma wakati hospitali na vituo vya afya vilikuwa mbali. Ila kwa sasa huduma za afya zimesogezwa karibu, ni wakati wenu kupumzika.Ngaribas tupo mbona...tena wengi tu! Nikuunge kwenye group letu la Afrika Mashariki uchote maujuzi?