Dr. Mwakyembe anakerwa na jina tajwa hapo juu ila hachukii trwni ya umma kuitwa ya Mwakyembe
NB: mwenye kale ka clip atupie plz...
This Tanzania...
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ya Tanzania itakapoacha kuabudu mchina ndio wananchi nao wataacha kuita uwanja ule kwa mchinaNadhani Yupo sahihi,Japo saiz ndo amechochea kuendelea kuitwa Kwa mchina,maana akili za waTz hazijataulia
Mwakyembe anawapigia debe wachina kijanja