Eti mume gani? Ulikuwa wapi siku zote?

Eti mume gani? Ulikuwa wapi siku zote?

fundiaminy

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2009
Posts
354
Reaction score
52
Kwa kweli huyu mwana mama amenishangaza leo.

Nni jirani na amezaa watoto watatu na mume huyo mmoja, cha kushangaza leo ametoa matusi mazito kwa mumewe akisema ni mume gani ambaye hata uume wake haumtoshelezi huyo mama, yaani hamgusi anavyotaka.

Sijui alikuwa wapi miaka yote mpaka wamezaa ndio anagundua mume hawezi kazi, ama ni porojo zake tu?

Mimi sielewi.
 
Usikute hata watoto kabambikiwa, mwambieni afanye DNA test haraka sana, ingawa inaweza kuongeza matatizo tu badala ya kusolve, ukweli utajulikana.
 
Usikute hata watoto kabambikiwa, mwambieni afanye DNA test haraka sana, ingawa inaweza kuongeza matatizo tu badala ya kusolve, ukweli utajulikana.
Mkuu,
Nia ya kufanya DNA test inaweza kuwepo, shida ni mshiko wa kuifanya.
 
Usikute hata watoto kabambikiwa, mwambieni afanye DNA test haraka sana, ingawa inaweza kuongeza matatizo tu badala ya kusolve, ukweli utajulikana.

DNA haiwezi kuwa na maana yoyote in this case maana hainenepeshi wala kurefusha msuli! Mshauri mjamaa atafute dawa za kusaidia hilo (kwa wamasai au waganga wengine) na awe na adabu kwa mkewe for now hadi baada ya tiba. Labda aliyekuwa anamsaidia amesafiri? lo!
 
Samahani anaejua bei ya DNA test naomba utujuze tafadhali.
 
kwa kweli huyu mwana mama amenishangaza leo.ni jirani na amezaa watoto watatu na mume huyo mmoja.cha kushangaza leo ametoa matusi mazito kwa mumewe akisema ni mume gani ambaye hata uume wake haumtoshelezi huyo mama,yaani hamgusi anavyotaka.cjui alikuwa wapi miaka yote mpaka wamezaa ndio anagundua mume hawezi kazi.ama ni porojo zake tu?mimi sielewi.
DNA haiwezi kuwa na maana yoyote in this case maana hainenepeshi wala kurefusha msuli! Mshauri mjamaa atafute dawa za kusaidia hilo (kwa wamasai au waganga wengine) na awe na adabu kwa mkewe for now hadi baada ya tiba. Labda aliyekuwa anamsaidia amesafiri? lo!

...no way! mke akishakutukana hivyo hakuna suluhisho, ni talaka tu kila mtu achukue hamsini zake!
 
Huyu mama hana adabu kabisa...nini kimemsibu kumtukana mumewe hadharani..kuna mtu kamega nje?Atakuwa uswazi tu huyu...ndio mitabia ya ajabu iko hivyo...ndoa mzigo.
 
Lakini huyu mama hakuwa sahihi na wanawake wa sampuli hii ukute kuna kibwana nje kinamzuzua. Na pakifikia hapo kwakweli hakuna suluhisho ikiwa mpita njia kasikia inakuwaje kwa wale watoto ndani ya nyumba kama wapo.
 
Haitakuwa sahihi kuanza kumlaumu mama bila kujua chanzo ni nini! Ingawaje hata huyo mama amekosea kumkanya mumewe hadharani hivyo! Mbona wengi tu huwa yanatutokaga mengi tu ya kila aina hasa ukiudhiwa ingawa huwa tunayatoa kimoyomoyo ama!

Kafanywaje kwani?
 
Duh!hiyo bei ni kwa test ya mtoto mmoja nadhani.mmmh!halaf itoke usivyotarajia na pengine ushajigamba mtaani una watoto watatu!!
 
Huyu mama hana adabu kabisa...nini kimemsibu kumtukana mumewe hadharani..kuna mtu kamega nje?Atakuwa uswazi tu huyu...ndio mitabia ya ajabu iko hivyo...ndoa mzigo.
Uwe mwangalifu na kauli zako.

Nani kakueleza huko Uzunguni hayapo hayo?

Tumezaliwa na kukulia Uzunguni, lakini when it comes 2 issues za kijamii tunawaheshimu sana wale wa uswazi.

Acha hiyo tabia.
 
Wayne
Bravo
umesema kweli but tukumbuke pia kuwa when it comes to reactions kutokana na hasira hakuna cha mzungu wala mswahili. Ni personal traits za mtu ndizo zinazomfanya areact anavyoreact......

Kuna wale ambao wamejaliwa vifua wanaowezakuona jambo na kusubiri hadi wageni waondoke au watoto walale ndio akuulize but wapo pia wale ambao mh umelikoroga hapa anakunywesha hapo hapo bila kujali unalinywa kwa stahili gani na mbele ya nani!!
 
Inawezekana elasticity ya mama imeisha naye kaamua kumnyooshea kidole mwenzake bila kuanza kutoa boriti jichoni kwake!
 
DNA haiwezi kuwa na maana yoyote in this case maana hainenepeshi wala kurefusha msuli! Mshauri mjamaa atafute dawa za kusaidia hilo (kwa wamasai au waganga wengine) na awe na adabu kwa mkewe for now hadi baada ya tiba. Labda aliyekuwa anamsaidia amesafiri? lo!

mkuu acha kupotosha watu..hizo dawa unajua madhara yake?
 
Sasa huyu mama alikuwa wapi siku zote hizo mpaka watoto kadhaa sasa ndiyo anajishaua kwamba muhogo si muhogo ni kiazi mbatata?

Ina maana siku zote alivyokuwa anaubugia alikuwa haoni? Au ndiyo chukurubu imepanua njia kama alivyosema mkuu balozi?
 
Kwa kweli huyu mwana mama amenishangaza leo.

Nni jirani na amezaa watoto watatu na mume huyo mmoja, cha kushangaza leo ametoa matusi mazito kwa mumewe akisema ni mume gani ambaye hata uume wake haumtoshelezi huyo mama, yaani hamgusi anavyotaka.

Sijui alikuwa wapi miaka yote mpaka wamezaa ndio anagundua mume hawezi kazi, ama ni porojo zake tu?

Mimi sielewi.
Huyo mama ameongea vibaya kwa kweli. maneno ya namna hii ndiyo yanawafanya baadhi ya wanaume kujinyonga au kunywa sumu. Kamdhalilisha sana, hasa kudharau uwanaume wake. Ni kitendo kibaya. Hata kama jamaa akujaliwa sana ilibidi amheshimu kwani Bwana wa upendo ndiye aliyempatia.
 
Kwa kweli huyu mwana mama amenishangaza leo.

Nni jirani na amezaa watoto watatu na mume huyo mmoja, cha kushangaza leo ametoa matusi mazito kwa mumewe akisema ni mume gani ambaye hata uume wake haumtoshelezi huyo mama, yaani hamgusi anavyotaka.

Sijui alikuwa wapi miaka yote mpaka wamezaa ndio anagundua mume hawezi kazi, ama ni porojo zake tu?

Mimi sielewi.
Nadhani huyo mama aliamua kumtukana mumewe ni kwa sababu ya hasira tu, ujue kama mtu hujui kucontrol hasira kazi kweli. Labda mume alimuudhi hivyo akaamua kumtamkia hivyo.
 
Back
Top Bottom