fundiaminy
JF-Expert Member
- Jun 4, 2009
- 354
- 52
Mkuu,Usikute hata watoto kabambikiwa, mwambieni afanye DNA test haraka sana, ingawa inaweza kuongeza matatizo tu badala ya kusolve, ukweli utajulikana.
Usikute hata watoto kabambikiwa, mwambieni afanye DNA test haraka sana, ingawa inaweza kuongeza matatizo tu badala ya kusolve, ukweli utajulikana.
kwa kweli huyu mwana mama amenishangaza leo.ni jirani na amezaa watoto watatu na mume huyo mmoja.cha kushangaza leo ametoa matusi mazito kwa mumewe akisema ni mume gani ambaye hata uume wake haumtoshelezi huyo mama,yaani hamgusi anavyotaka.cjui alikuwa wapi miaka yote mpaka wamezaa ndio anagundua mume hawezi kazi.ama ni porojo zake tu?mimi sielewi.
DNA haiwezi kuwa na maana yoyote in this case maana hainenepeshi wala kurefusha msuli! Mshauri mjamaa atafute dawa za kusaidia hilo (kwa wamasai au waganga wengine) na awe na adabu kwa mkewe for now hadi baada ya tiba. Labda aliyekuwa anamsaidia amesafiri? lo!
...no way! mke akishakutukana hivyo hakuna suluhisho, ni talaka tu kila mtu achukue hamsini zake!
Kwa taarifa zisizo rasmi ni zaidi ya hela za Kitanzania Elfu mia moja.Samahani anaejua bei ya DNA test naomba utujuze tafadhali.
Uwe mwangalifu na kauli zako.Huyu mama hana adabu kabisa...nini kimemsibu kumtukana mumewe hadharani..kuna mtu kamega nje?Atakuwa uswazi tu huyu...ndio mitabia ya ajabu iko hivyo...ndoa mzigo.
hajatukanwa ameambiwa ukweli
DNA haiwezi kuwa na maana yoyote in this case maana hainenepeshi wala kurefusha msuli! Mshauri mjamaa atafute dawa za kusaidia hilo (kwa wamasai au waganga wengine) na awe na adabu kwa mkewe for now hadi baada ya tiba. Labda aliyekuwa anamsaidia amesafiri? lo!
Huyo mama ameongea vibaya kwa kweli. maneno ya namna hii ndiyo yanawafanya baadhi ya wanaume kujinyonga au kunywa sumu. Kamdhalilisha sana, hasa kudharau uwanaume wake. Ni kitendo kibaya. Hata kama jamaa akujaliwa sana ilibidi amheshimu kwani Bwana wa upendo ndiye aliyempatia.Kwa kweli huyu mwana mama amenishangaza leo.
Nni jirani na amezaa watoto watatu na mume huyo mmoja, cha kushangaza leo ametoa matusi mazito kwa mumewe akisema ni mume gani ambaye hata uume wake haumtoshelezi huyo mama, yaani hamgusi anavyotaka.
Sijui alikuwa wapi miaka yote mpaka wamezaa ndio anagundua mume hawezi kazi, ama ni porojo zake tu?
Mimi sielewi.
Nadhani huyo mama aliamua kumtukana mumewe ni kwa sababu ya hasira tu, ujue kama mtu hujui kucontrol hasira kazi kweli. Labda mume alimuudhi hivyo akaamua kumtamkia hivyo.Kwa kweli huyu mwana mama amenishangaza leo.