Eti Mwakyembe ndio mnyakyusa wa kwanza kuongea na Rooney.

loulla

Senior Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
125
Reaction score
91
imewekwa kwenye historia kua mnyakyusa wa kwanza kuongea na mchezaji huyo wa Everton kua Daktari Mwakyembe tarehe 12/07/2017 jijini Dar es salaam.

aya wazazi ilo ni tilio jipya kwa maarifa ya jamii, zuia mwanao asifeli kijinga.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
kuna wanyakyusa wengi saana wanaishi katika mji wa manchester na wengine ni waingereza kabisaaaa na hua wanakutana nae club wanakula nae bia......kwahiyo mwakyembe sio mnyakyusa wa kwanza kuongea na rouney....
 
hahahahhahahahaha nimemskia sam anasema nimecheka balaa! mie dimpose za mwakyembe hoiii! nadhan ht akilala zinaonekana!lol
 
kuna wanyakyusa wengi saana wanaishi katika mji wa manchester na wengine ni waingereza kabisaaaa na hua wanakutana nae club wanakula nae bia......kwahiyo mwakyembe sio mnyakyusa wa kwanza kuongea na rouney....
100%
 
hahahahahah jf kuna vichaa wengi sana
asante mtoa post umefanya asubuhi nifurahi kupita kiasi ndagha bha mwakruny
Mwe Mwe Mwe Mwe kweli JF kuna vicha watu sijui huwa wanawaza nini , ndagha ndagha gwa kukaja!
 
naskia Rooney kaenda chanika kununua kiwanja

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
jf mmenishinda tabia
 
kuna wanyakyusa wengi saana wanaishi katika mji wa manchester na wengine ni waingereza kabisaaaa na hua wanakutana nae club wanakula nae bia......kwahiyo mwakyembe sio mnyakyusa wa kwanza kuongea na rouney....
Ungemtaja na kuweka picha ya huyo Mnyakyusa ili ukweli ubainike bila ya hivyo Mwakyembe anakuwa ni Mnyakyusa wa kwanza kuongea na Runi
 
Back
Top Bottom