imewekwa kwenye historia kua mnyakyusa wa kwanza kuongea na mchezaji huyo wa Everton kua Daktari Mwakyembe tarehe 12/07/2017 jijini Dar es salaam.
aya wazazi ilo ni tilio jipya kwa maarifa ya jamii, zuia mwanao asifeli kijinga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
100%kuna wanyakyusa wengi saana wanaishi katika mji wa manchester na wengine ni waingereza kabisaaaa na hua wanakutana nae club wanakula nae bia......kwahiyo mwakyembe sio mnyakyusa wa kwanza kuongea na rouney....
Mwe Mwe Mwe Mwe kweli JF kuna vicha watu sijui huwa wanawaza nini , ndagha ndagha gwa kukaja!hahahahahah jf kuna vichaa wengi sana
asante mtoa post umefanya asubuhi nifurahi kupita kiasi ndagha bha mwakruny
Vipi lakini wamekukagua tiari ?naskia Rooney kaenda chanika kununua kiwanja
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Huyo Rooney kwani ni nabii?
Ungemtaja na kuweka picha ya huyo Mnyakyusa ili ukweli ubainike bila ya hivyo Mwakyembe anakuwa ni Mnyakyusa wa kwanza kuongea na Runikuna wanyakyusa wengi saana wanaishi katika mji wa manchester na wengine ni waingereza kabisaaaa na hua wanakutana nae club wanakula nae bia......kwahiyo mwakyembe sio mnyakyusa wa kwanza kuongea na rouney....
mmoja wapo ni member humu jfUngemtaja na kuweka picha ya huyo Mnyakyusa ili ukweli ubainike bila ya hivyo Mwakyembe anakuwa ni Mnyakyusa wa kwanza kuongea na Runi