Eti Mwakyembe ndio mnyakyusa wa kwanza kuongea na Rooney.

kuna wanyakyusa wengi saana wanaishi katika mji wa manchester na wengine ni waingereza kabisaaaa na hua wanakutana nae club wanakula nae bia......kwahiyo mwakyembe sio mnyakyusa wa kwanza kuongea na rouney....
wataje
 
mmoja wapo ni member humu jf

mbona yumo humuhumu? we mbona unatumia ID fake na haujitaji ni nani na upo wapi? we ni uamuzi wako kuamni au kuto amini ila mwakyembe sio mnyakyusa wa kwanza
 
Mwakyembe a.k.a mwakiruni

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
kuna wanyakyusa wengi saana wanaishi katika mji wa manchester na wengine ni waingereza kabisaaaa na hua wanakutana nae club wanakula nae bia......kwahiyo mwakyembe sio mnyakyusa wa kwanza kuongea na rouney....
Hao hatuna ushahidi uliorekodiwa kidijitali. Seeing is believing!
 
halafu nikisha wataja we itakusaidia nini kama sio umbea usio kua na faida yoyote kwako? tena mmoja anaufuatilia huu uzi na anazidi kukushangaa kwa ushamba wako.
Mtaje huyo anayefuatilia huu uzi
 

Hivi Rooney ni Mungu?
 
Mtaje huyo anayefuatilia huu uzi

halafu nikisha mtaja? kumbuka kua kila mtu ana haki ya privacy na ndio maana mkuu maxence alipelekwa mahakamani kwajili ya kuitetea ID fake yako ambayo polisi wanakutamani saana wakujue ili siku ukiingia kwenye 18 zao wakushughulikie kwa hasira zote. siwezi mtambulisha mtu bila ridhaa yake
 
dont fear tukitaka kukumataa ww ni simple sanaa
 
I wish ningekuwa Moderator huu uzi ningeupeleka jukwaa la utani na vichekesho! (kwa sauti ya wale, walioko likizoni)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…