Eti mwanzilishi wa JamiiForums ni Mzungu?

Kumbe huyu ndio Bwana Maxence Melo ???? NO OFFENCE MEANT Ila naona hafanani na Jf ingawa ndiye muanzilishiii daah.
 
Last edited by a moderator:
Mmhh hii kali kwani naamini walishawahi muhoji mmoja ktk east Africa tena kipindi cha salama (mkasi) ila hawa ni watanzania wenzetu,vijana walianzisha kama blog lkn ndio leo wanaona matunda kwani ndio mtandao namba moja bongo mamia ya watanzania yanaweka comments, jamii pia inaneemeka kwani nami nimepata kunufaika & mtandao huu naam nimenzisha biashara mbalimbali kupitia hapa|tunapaswa kuwapa hongera sana|MI BINAFSI NAIPENDA JAMII FORUM NA NATAMANI WAUZE HISA NAAMINI TUTAFIKA MBALI SANA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…