jf ni jukwaa huru la kutoa ya moyoni ,unapouliza kuwa ni ya nani we nani alikushawishi uingie humu ikiwa huelewi maana ya hili jukwaa.unamtafuta mmiliki iweje ,kama ni ushauri wapo watu humu ndani uliza ujibiwe ,usitumike vibaya kudumaza mawazo ya wanajamii .Inawezekana swali hili lilishawahi kuulizwa, lakini kwa faida yangu na wengine wanaoguswa kujua hili ninaomba majibu ya swali hili, NI NANI MWANZILISHI NA MMILIKI WA JF? MAKAO MAKUU YA JF YAPO WAPI? NA MWISHO JE NI KWANINI JF APP. HAIKUBALI MFUMO WA FREE DATA KAMA ILIVYO KWENYE JF WEBSITE?
Who are WE?
JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.
Where are we?We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.
For anything related to this site please Contact us.
jf ni secrety society,huwez jua makao makuu yake wala mmiliki wake.wengi watakaokujib ni makanjanja tu.
huwez mpata,hata huyo invinsible ambae katoa welcome note katika kila thread huwez ukamfaham hata kidogo,ila kuna mods ambao tupo nao humu na hawa mara nying huwa ni wachangiaj wa kwanza
hasa thread ambazo huwa ndo zimeandikwa halaf ikapita dakika kadhaa wao huwa wanachangia kiuchokoz ili kuziupdate na watu wengne wazifuatilie.kwa upande wangu ndio hayo mkuu
Kwa niandikayo humu ukiniona utazimia bora kuepusha hiko kikombe
Mmhh hii kali kwani naamini walishawahi muhoji mmoja ktk east Africa tena kipindi cha salama (mkasi) ila hawa ni watanzania wenzetu,vijana walianzisha kama blog lkn ndio leo wanaona matunda kwani ndio mtandao namba moja bongo mamia ya watanzania yanaweka comments, jamii pia inaneemeka kwani nami nimepata kunufaika & mtandao huu naam nimenzisha biashara mbalimbali kupitia hapa|tunapaswa kuwapa hongera sana|MI BINAFSI NAIPENDA JAMII FORUM NA NATAMANI WAUZE HISA NAAMINI TUTAFIKA MBALI SANA...
WaanzilishI wa jamii forums ni Mike mushi na Maxence Melo ( Mchaggavna Mhaya)
Net worth 600m TshKama mjuavyo watu wengi walioanzisha na kumiliki mitandao ya kijamii ni maarufu hasa na matajiri pia.
Je maisha ya CEO wa JF yakoje?
1. Utajiri wake dollar Billion ngapi?
2. Maisha yake?
3. Familia yake, mke, watoto?
4. Hisa zake kwenye makampuni mengine?
5. Elimu yake?
Kiufupi ni uchambuzi kama ambavyo tunaona kwa ma CEO wengine.
naona umekula like ake nakufananisha na mbao za mawe
naona umekula like ake nakufananisha na mbao za mawe
ndio wewe?Hahha like za Mkuu ninazo kama mia mbili. Karibu sana best.
Kama mjuavyo watu wengi walioanzisha na kumiliki mitandao ya kijamii ni maarufu hasa na matajiri pia.
Je maisha ya CEO wa JF yakoje?
1. Utajiri wake dollar Billion ngapi?
2. Maisha yake?
3. Familia yake, mke, watoto?
4. Hisa zake kwenye makampuni mengine?
5. Elimu yake?
Kiufupi ni uchambuzi kama ambavyo tunaona kwa ma CEO wengine.