Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Naam ndiyo wewe.ndio wewe?
hahahaaa nimekuelewa, nafrah kukufahamNaam ndiyo wewe.
Ila kaka Max ana mke jembe kwa kweli.
Mwanamke alikuwa nae bega kwa bega wakati wa kesi yake Kisutu.
Tulikuwa twakutana nae Kisutu.
Maxence Melo ukimuacha wifi yetu, tunaandamana.
Kwa kweli ni vizuri sanaOooh basi ni vizuri.
hahahaaa nimekuelewa, nafrah kukufaham
hahahhaa ndio ujue mimi ni mtu napenda maandishi yako hum, hiyo salamba jamani hajahhahaaHahhaha nakupenda bure Madame Salamba. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahhaa ndio ujue mimi ni mtu napenda maandishi yako hum, hiyo salamba jamani hajahhahaa
hahaha salamba sio jina langu ujue hahahahha sjui kwa nn ukajiita hiviHahhaa juzi nimetumia hiyo Salamba kwenye comment moja hivi ila ulijibu poa nikaamua nikuache.
hahaha salamba sio jina langu ujue hahahahha sjui kwa nn ukajiita hivi
ahahahaha ntakuambia siku mojaHahha niambie basi jina lako kule Prime Minister (PM)
No nataka leoleo (supu ya mbwa ninywe ikiwa ya moto)ahahahaha ntakuambia siku moja
Nakuona unakula chaki mzee baba,hautoki nje ya barabara,umeubana mstari hatari..No nataka leoleo (supu ya mbwa ninywe ikiwa ya moto)
Nakuona unakula chaki mzee baba,hautoki nje ya barabara,umeubana mstari hatari..