Eti mziki hauna maadili wala hauelimishi.... hahaaa utachelewa sanaa

herman joshua

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
1,967
Reaction score
3,212
Ukitaka mziki wa kuelimisha matafute Maalim Nash mc or
Tamaduni music kwa ujumla mziki wao unaelimisha me nshaelimika kitambo kuanzia enzi za sunday school
shuleni pia nlielimika na bado najifunza kwa akina Joeli nanauka na ma inspiration speaker kibao kupitia platform mbalimbali kwa sasa mziki kwangu ni burudan tu
 
Nyimbo kama tabia na homa imenizi unaweza sikiliza ukiwa na mtoto wako au na wazazi wako.
 
Wanamuziki wote wa Hiphop wanaelimisha sana jamii zetu. Sema tu watu wengi wamezama kwa wabana pua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…