Technician
JF-Expert Member
- Mar 30, 2010
- 841
- 222
Na inasemekana kuwa huenda akaibuka mshindi kwenye hii BSS.
Kuna tetesi zimeenea mtaani kuwa mshiriki wa Bongo Star Search ambaye amepanda chati kuliko kawaida kuwa ni kachero kutoka shirika la kijasusi la Marekani, CIA na yuko hapa nchini kwa kazi maalum. Inasemekana kuwa ndio maana ni mtu wa kujichanganya mno mpaka ameingia kwenye BSS na amewezakuzikonga nyoyo za watz weni. Tetesi hizi ni kweli?
Inawezekana!Pia nimeskia ati yule jaji mkuu anamezea mate huyo mzungu.