Eti naomba like

nahoda22

Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
45
Reaction score
40
Hivi like inakusaidia nini , mbona mnaleta story za facebook na youtube
Utakuta jitu zimaa lina mavu** mpaka kwenye ulimi anakomaa mikono kwa kuomba like tu , kweli vya zamani vinarudi maana tunarudi utotoni.
 
Mkuu; kwani wakiomba likes wewe kama wewe inakuongezea su kukupunguzia nini?

Mara nyingi ni utani tu kwa watu waliozoeana. Wapotezee !!!
 
Kamata Like yangu hio
Ukasherehekee sikukuu
 
Mkuu; kwani wakiomba likes wewe kama wewe inakuongezea su kukupunguzia nini?

Mara nyingi ni utani tu kwa watu waliozoeana. Wapotezee !!!
Asee naonaga utoto sana bora mtu aseme niwekee mpesa [emoji16] shukran mkuu[emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…