Eti napendwa tena...


Mkuu umenena vyema sana, natakiwa nchukue uliyoyasema niyafanyie kazi. Shukrani
 
Cjawah kulalamika juu yake zaid anapofanya kosa hua nachunguza then nakaa nae chini namueleza, ila mm inapotokea katuma meseji cjamjibu, kabip cjapga na kaomba salio cjam2mia n kosa na itakua kesi cku nzma.
Kuacha mtu sio solution,
Ww mwanaume lzm utimize majukumu yako kweli kweli sio vihela vya vocha na outing unalalamika,mwanamke garama km huji,
N km kweli ww ni mwanaume na si mvulana,ni lzm uwe na misimamo ya kiume sio unayumbishwa kidogo unaanza kulala mika na hujui cha kuamua,
Weka misimamo kwenye mambo ambayo hutaki na yawe ya msingi,na km huyo bidada anakupenda kweli atatii na kufuata utakavyo,
Ila km ww umemzoesha akibi unapiga,akiomba salio unatuma sasa unataka abadilike gafla unakosea kaa naye sema naye na muelewane!!
 

wanaume tumebaki wachache saana!!...mbona kama ulishafanya maamuzi mkuu?...epuka kuamua baada ya kuamua
 
Anapenda sana hela na matumizi mabaya ya fedha, anapenda sana kwenda disco, anapenda kulaumu vitu visivyo vya msingi na vngnevyo
Kumbe tatizo lako ni mkwanja mfupi? Pole sana!!
 
Anapenda sana hela na matumizi mabaya ya fedha, anapenda sana kwenda disco, anapenda kulaumu vitu visivyo vya msingi na vngnevyo

hivyo vitu ndio vilivyomfanya atendwe ma frenz mkuu toka nduki sana sawa mkuu tciaoooo...
 
Mwanaume ni kuishi na maamuzi yako............Kupanga ni kuchagua.
 
Bora ingekua natoa kwa kujua matumiz halali ila anadanganya 7bu na ninapompa hutumia vngnevyo kisha huomba upya, nlishamkanya ila bdo haelekei kuelewa

yaelekea we ni fogo eeeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…