Eti ni kwanini? Hebu tuambie...

Hapo kwenye red panahitaji thread inayojitegemea. Nayo itauliza, ''Je wanachama wa JF wakifahamiana, uhuru wao wa kutoa maoni jamvini unapongua?''
hahahaha!hoja juu ya hoja
 
bht ndiye mwalimu wako rasmi, mimi ni msaidizi wake! Hata hivyo ujumbe wako huwa unafika vizuri tu kwa walengwa hata kwa lugha hiyo ya malkia.

hivi mwalimu hana uhuru wa kujichagulia wanafunzi??
 
2-nimekuwa mpole,au niwe more precise VIDOLE NA KEYBOARD VIMEKOSA USHIRIKIANO baada ya mkuloni kuniongezea frustration
.......Loud pleaaaaaaaaaaaaaaasssssseeee........! mekugongea hommie.....pwenti hiyo........!
 
hapa naona kimeumana.........xpin nione leo to do ze nidiful
 
hapa naona kimeumana.........xpin nione leo to do ze nidiful

ha ha....mpotezee huyo...nimemualika huku nyanda za juu magharibi nimpeleke johansburg garden anajishododoa
 
ha ha....mpotezee huyo...nimemualika huku nyanda za juu magharibi nimpeleke johansburg garden anajishododoa

asee nimekugongea senks tayari kwanza.......afu nakuchumu mwaaaah

niko poa sasa

hebu niambie namkanaje hommie wangu...ngoja nikampe taarifa kama hujamwona jburg kesho kutwa! ohooo
 
Shikamooni wapwa.
Nyivonduma sir.........shida ya huyu jamaa, anakuwa na mipango isiyotekelezeka. kwasababu anapangia bar, asubuhi akiamka anakuwa hana mia. jioni akizikamata anaenda bar tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…