Eti ni kweli Gaddafi alikuwepo Rondo Tanzania kabla ya kifo chake?

Eti ni kweli Gaddafi alikuwepo Rondo Tanzania kabla ya kifo chake?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Za ndani kabisa nimepewa info kwamba Muammar Gaddafi alijificha kwa membe lindi kule rondo platue kule nasikia pana bonge la handaki sasa gaddafi alijificha kule alipokaa akaamua aende nchi kwake kisa wanaompenda wamemtaka aende. Alipofika libya haikuchukua siku 3 akauliwa naombeni mnaojua hii report mnielekeze kama ni kweli hii habari
 
Membe hana pesa ya kujenga handaki la standards za Gadaffi, yule mwamba handaki zake huko libya zilikuwa na vigari vya golf anazurula huko chini

Hata kama basi tuseme Gadafi kweli alikaa kwa Membe ila hawezi kukaa handakini sababu hakuna threat yoyote Tanzania

Gadafi alikuwa na mahusiano mazuri na mataifa mengine ya kiarabu ndiko huko alipeleka familia yake angeenda huko sio Bongo tena kwa Membe !!
 
Za ndani kabisa nimepewa info kwamba Muammar Gaddafi alijificha kwa membe lindi kule rondo platue kule nasikia pana bonge la handaki sasa gaddafi alijificha kule alipokaa akaamua aende nchi kwake kisa wanaompenda wamemtaka aende.alipofika libya haikuchukua siku 3 akauliwa naombeni mnaojua hii report mnielekeze kama ni kweli hii habari
Huko uliko pewa hizi taarifa rudi kawaulize vizuri..au mtafute 'Ima' atakueleza vzr!
 
Ata angejikalia tu sehemu yeyote Tanzania akawa mkimbizi kama Iddi Amin ingekuwa bora kuliko kufa walahi!
 
Mmmmmmhmn hicho kinywajj ulichotumia usijetumia tena.
 
Back
Top Bottom