ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Walikuwa wamelewa sanaInawezekana ulisikia vby,uliza tena kwa mdau wako
hahahaha,walewe tena smart ginWalikuwa wamelewa sana
Huko uliko pewa hizi taarifa rudi kawaulize vizuri..au mtafute 'Ima' atakueleza vzr!Za ndani kabisa nimepewa info kwamba Muammar Gaddafi alijificha kwa membe lindi kule rondo platue kule nasikia pana bonge la handaki sasa gaddafi alijificha kule alipokaa akaamua aende nchi kwake kisa wanaompenda wamemtaka aende.alipofika libya haikuchukua siku 3 akauliwa naombeni mnaojua hii report mnielekeze kama ni kweli hii habari