luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Mbona hasara zilianza yangu tangu enzi za uhenga miaka ya 47 hii tunaita mbaazi kashidwa kutoa maua kasingizia JUAEti nimesikia baadhinya wasomi wa 254 wana dai eti ile route ya US ni moja ya route ya hasara kwa sababu eti siku izi US wamekazia utoaji visa ss wanaokwenda ni wachache ... Ss naomba wadau wenye izi detqil . Nq nilisikia eti ata UG airline wanaichukulia iyo route kqma case study
ATCL yetu tulisafirisha minofu mara moja tu , Sasa pesa zetu zimelala kuota kutu. Vyuma kukazadirect flight to US walienda mara moja tu na hawakurudia tena, ILISAFIRI NA WATU SITA. TU!!
ATCL yetu tulisafirisha minofu mara moja tu , Sasa pesa zetu zimelala kuota kutu. Vyuma kukaza
Bado Safari za new York zinaendelea japo sio daily flights kama ilivo kua,kua informed kijanadirect flight to US walienda mara moja tu na hawakurudia tena, ILISAFIRI NA WATU SITA. TU!!
Bado Safari za new York zinaendelea japo sio daily flights kama ilivo kua,kua informed kijana
Ilishabuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado Safari za new York zinaendelea japo sio daily flights kama ilivo kua,kua informed kijana
Au ndo wakat wa ziara ya Kenyatadirect flight to US walienda mara moja tu na hawakurudia tena, ILISAFIRI NA WATU SITA. TU!!