Eti ni kweli kuna mafunzo napaswa nipite ili nifungue duka la pembejeo za kilimo?

ngebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
1,789
Reaction score
5,117
Nahitaji kuanzisha duka la pembejeo za kilimo elimu yangu ni diploma ya social work

Naomba kuuliza je? Eti ni kweli ni lazima nipitie mafunzo mafupi ili kufungua duka la pembejeo za kilimo,

Na kama yapo je hugharimu kiasi gani cha gedha na kwa muda gani na yanapatikana wapi hayo mafunzo?

Nitashukuru mkinisaidia majibu ndugu zangu
 
Navyojua mimi ni hivyo maana kama hujui chochote kuhusu chemicals za kilimo tutarajie nini?
 
ndio nauliza kuhusu huo utaratibu wa kupsta hayo mafunzo maana sijawai kuona tangazo loloye kuhusu hayo mafunzo
 
navyojua mimi ni hivyo maana kama hujui chochote kuhusu chemicals za kilimo tutarajie nini?
ndio nauliza kuhusu huo utaratibu wa kupsta hayo mafunzo maana sijawai kuona tangazo loloye kuhusu hayo mafunzo
 
ndio nauliza kuhusu huo utaratibu wa kupsta hayo mafunzo maana sijawai kuona tangazo loloye kuhusu hayo mafunzo
Hivi TPRI hawana ofisi zao za kanda? Au hata za DSM? Najua makao makuu yapo Arusha. Ungekuwa Arusha basi ningekushauri uende ofisi za TPRI pale Ngaramtoni upate maelezo.
 
Nahitaji kuanzisha duka la pembejeo za kilimo elimu yangu ni diploma ya social work

Naomba kuuliza je? Eti ni kweli ni lazima nipitie mafunzo mafupi ili kufungua duka la pembejeo za kilimo,

Na kama yapo je hugharimu kiasi gani cha gedha na kwa muda gani na yanapatikana wapi hayo mafunzo?

Nitashukuru mkinisaidia majibu ndugu zangu
Nakushauri uende ofisi za maafisa kilimo na mifugo katika halmashauri uliyopo watakupa majibu yanayojitosheleza zaidi.
Hebu watembelee uje utuletee mrejesho
 
Back
Top Bottom