ndio nauliza kuhusu huo utaratibu wa kupsta hayo mafunzo maana sijawai kuona tangazo loloye kuhusu hayo mafunzonavyojua mimi ni hivyo maana kama hujui chochote kuhusu chemicals za kilimo tutarajie nini?
Hivi TPRI hawana ofisi zao za kanda? Au hata za DSM? Najua makao makuu yapo Arusha. Ungekuwa Arusha basi ningekushauri uende ofisi za TPRI pale Ngaramtoni upate maelezo.ndio nauliza kuhusu huo utaratibu wa kupsta hayo mafunzo maana sijawai kuona tangazo loloye kuhusu hayo mafunzo
Nakushauri uende ofisi za maafisa kilimo na mifugo katika halmashauri uliyopo watakupa majibu yanayojitosheleza zaidi.Nahitaji kuanzisha duka la pembejeo za kilimo elimu yangu ni diploma ya social work
Naomba kuuliza je? Eti ni kweli ni lazima nipitie mafunzo mafupi ili kufungua duka la pembejeo za kilimo,
Na kama yapo je hugharimu kiasi gani cha gedha na kwa muda gani na yanapatikana wapi hayo mafunzo?
Nitashukuru mkinisaidia majibu ndugu zangu