Eti ni kweli maprofessor hawajui mapenzi?

Nasubiri zawadi ya mwaka mpya maana X-mas imepita naona kimya bora nijiombee sasa.Na ukinipa thamaki nitashukuru sana na itakuwa zawadi nzuri kabisa kuanzia mwaka.

hamna shaka
ntakupa samak mwenye magamba na asiye na magamba pia!!!!!!
 

Hata proffessor wa sexiology nae hajui mambo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! nachelea kukubali hii mada
 
Si kweli, mimi kuna mpenzi wangu nilikuwa namtazamia nije nimuoe lakini cha ajabu akaja kunikacha akawekwa nyumba ndogo na professor fulani na nina amini kilichompeleka huko huenda yatakuwa ni masuala ya mapenzi, kwasababu mimi nilikuwa nina kazi iliyokuwa inanifanya niwe safarini 75% ya mda wangu hivyo kushindwa kum-attend vizuri mwenzangu. Na huko alikoenda naona ametulia tuli simuoni akihangaika na vidumu, hii inaonyesha professor analiweza hilo eneo.
 
Kwani ni Maprofesa tu wanaochoka? Au kila mtu anaeochoka akili (fatigue) ni profesa, japo kazi afanyao si ya ki-profesa?
 
there is no any relationship btn doctors/phd's/professors and doing sex. no any correlation btn them either.
hata wewe unaweza ukawa professor siku moja kama unafundisha vyuoni je unadhni utashindwa ku-do? acha uzembe
 
Ni kwa maprofesa wa kiume tu au na wakike pia!? Lakini lililo wazi ni kuwa maprofesa wa kike huwa hawajipendi sana, yaani ile kujiremba remba kike wao huwa wanalipua tu.

Mkuu Maprofesa wa kike kwa huko Bongo D'salaam kwa walio wengi hawaolewi coz wao wanaona ndio wao! Hivyo huwa wanaishia kuzaa tu coz ya muda unaenda lakini hata wa kuwaambia "Mambo vipi prof - kwa kuonyesha mwelekeo wa kuoa huwa hawapati". Solution huwa wanaamua kufanya timing na kumtafuta mtu japo amege one day na yeye awe na reference copy (mtoto). Naliongea hili sio nakurupuka ila nina evidence nyingi kutoka pale UDSM, MZUMBE, NA ARDHI UNIV. Naamini wengine wataongezea mifano zaidi!
 
Ni kweli. Hawana muda wa kuhang na totoz ili kuongeza ujuzi pande hizo. Wengi wakishazeeka ndio wanaona wana muda kwahiyo wanaanza ufataki.
 
Kumbe Maprof wanajua Mapenzi lakini ni kamuda 2 ndo kanawakosa!!

Ni kweli. Hawana muda wa kuhang na totoz ili kuongeza ujuzi pande hizo. Wengi wakishazeeka ndio wanaona wana muda kwahiyo wanaanza ufataki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…