Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,423
- 1,252
Huyo anaesema hivyo ameshatembea mikoa yote ya tz? Mwambie aende arusha kwanzaKuna mdau mmoja kanidokeza na kulalamikia maisha ya mtwara kuwa yapo juu hasa upande wa vyakula tofauti na sehemu yoyote tz.
Wenyeji haya ni ya kweli, kwa jicho la ujasiriamali nahisi kuna fursa.
Hee 500/=? Ubora wa chakula vipi?Labda miaka hii, nimekaa mtwara 2009 na 2010, mimi na jamaa angu tulikuwa tunaenda kula kwenye Cafeteria ya wahindi ilikuwa maeneo ya stendi kuu, wali dagaa shilingi mia tano!
Huu mkumbo kwamba Arusha sijui maisha magumu sijui vitu ghali huwa unaniboa kinoma, yaani ni ulimbukeni fulani watu wanaaminishana...Huyo anaesema hivyo ameshatembea mikoa yote ya tz? Mwambie aende arusha kwanza
Mwanangu dagaa walikuwa na mchanga kinoma, kilichokuwa kinanivutiwa, wametiwa nazi!Hee 500/=? Ubora wa chakula vipi?
Mkuu SingleFather, Mtwara misosi ya kutosha tu, kwanza wakati wa chai, ukiagiza chochote, iwe cha na chapati au chai na vitumbua, unapewa na bakuli la maharage, tena yametiwa nazi, for free!Nadhani labda wenyeji ni ma mwinyi sana hawalimi mazao ya chakula wao ni koroshow tu kwahiyo vyakula wanaimport kutoka mikoa mingine
Si kweli kitimoto imejaa kibao kwenye bar za mitaaniMkuu SingleFather, Mtwara misosi ya kutosha tu, kwanza wakati wa chai, ukiagiza chochote, iwe cha na chapati au chai na vitumbua, unapewa na bakuli la maharage, tena yametiwa nazi, for free!
Ila kama unapenda kitimoto, utapata tabu, hapatikani popote hadi kanisani tu, kule Roman.
Hata chakula kiko juu mkuu, nilikuwepo huko 2011 — 2013Mtwara kwa upande wa chakula sio sana, but mavazi ni hatari
Labda siku hizi, 2009 na 2010 nilitafuta sikupata, nikawa naelekezwa kanisani.Si kweli kitimoto imejaa kibao kwenye bar za mitaani
Ya pale mjini.Labda kwa Mtwara mjini,kama mwezi mmoja nyuma nilikuwa huko katika mji wa masasi kiukweli vyakula vyao ni bei rahisi sana
Huu mkumbo kwamba Arusha sijui maisha magumu sijui vitu ghali huwa unaniboa kinoma, yaani ni ulimbukeni fulani watu wanaaminishana...
Kila sehemu kuna vitu bei chee na bei ghali kulingana na uwezo wako na mahitaji yako, Arusha nimeishi pia, sijaona cha ugumu wala nini ni sawa tu na Mbeya, ukitaka vitu ghali utapata na ukitaka vitu bei rahisi utapata..