D DATAZ JF-Expert Member Joined May 25, 2012 Posts 4,712 Reaction score 11,991 May 20, 2025 #1 Wataalam wa mambo ya jadi embu tusaidieni, kwa mfano inawezekana Mchawi wa Zanzibar kuja kuwanga bara na kinyume chake?
Wataalam wa mambo ya jadi embu tusaidieni, kwa mfano inawezekana Mchawi wa Zanzibar kuja kuwanga bara na kinyume chake?
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 May 20, 2025 #2 Nani ka kwambia .watu wanarogwa wapo ulaya ili warudi ma kwao au una maanisha samia hawezi kurogwa
Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 11,191 Reaction score 35,870 May 20, 2025 #3 Ukijjiingiza katika utambuzi wa mambo haya basi umasikini unakuvuta taratibu huku roho mbaya ikiwa blanket yako, majungu yakiwa mto wako na hofu itakuwa kitanda chako.
Ukijjiingiza katika utambuzi wa mambo haya basi umasikini unakuvuta taratibu huku roho mbaya ikiwa blanket yako, majungu yakiwa mto wako na hofu itakuwa kitanda chako.
Nomadiq JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 8,572 Reaction score 22,926 May 20, 2025 #4 Ngoja wachawi waje kukupa mwongozo, ndio mida yao ya kutoka kazini!
kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,388 Reaction score 16,188 May 20, 2025 #5 Haya mambo siyaamini hadi siku nikutane na mchawi mwenyewe live