Eti ni kweli wabongo tunanuka midomo?


Thanks brother for your affort we real appreciate it,umetusaidia wengi.
 
Kunuka midomo si suala wa WaTanzania tu,kila mtu anaweza akanuka mdomo.
Mara nyingi huu unaweza ukawa ni ugonjwa au kutojali usafi wa kinywa.
Kusema ya kuwa Watanzania tunanuka midomo,mimi hilo suala nalipinga.

Nilipokuwa nyumbani,mara nyingi kawaida watanzania tumezoea kupiga mswaki mara moja kwa siku(asubuhi) tu.
Na vitu kama chakula,soda,sukari n.k. vinapokuwa kinywani kwa muda huzaa vijidudu(bacteria).Halafu mbaya zaidi unakuta mtu anakandamizia na Big G...LOL. Mtafaruku wa mdomoni lazima hautakuwa mzuri.

Hii ni true story ilinitokea....... Niliumwa jino huku States miaka ya nyuma,so nikaenda kwa Dentist...... Jamaa akaniuliza ni lini mara ya mwisho ulisafisha meno???? Nikamjibu huwa napiga mswaki kila siku. Akanibishia haiwezekani.......na mimi nikamuuliza kwa nini??? Akaniambia meno yangu yanaonekana machafu sana,na kinywa changu kimejaa anaerobic bacteria (usually cause Halitosis).
Niliishiwa nguvu kabisa......nikamuuliza naweza kupambana vipi na huu ugonjwa????
Na kunifahamisha njia pekee ya kupambana na hili gonjwa ni profesional teeth clean(dentist) at least 3 to 4 times a year. (b)Kupiga mswaki atleast mara mbili kwa siku.....na kutumia Mouthwash kusukutua kinywa mara kwa mara.
Nilifuata hayo niliyoagizwa na nikaona matokea ya kushangaza na kuwa na kinywa kisafi.

I feel sorry kwa mademu niliowala denda miaka ya nyuma bongo....eeewwwww LOL.
Sayansi Kimu bongo ilituangusha.
 
Wabongo hatunuki midomo, wakenya ndo wananuka midomo na soks. pia huwa hawaogi mara kwa mara. mara nyingi ukitembelea kenya utahsangaa wanawashangaa wabongo ati ni watu wa kuulamba na kutoka kibishoo. wao ni mzigo tu hata na mijasho juu. you cant believe hapa tz wanawake wa kenya wanaitwa "wanuka soks" wao pia visoksi vyao vya kike vinapugaga kidogo ati.
 

LOL....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.....!!!!!!

EBWANA WEE!? Duh!!! una utani nao nini? ha ha ha haaa....
 
Je usikomeza mate kwa muda mrefu mdomo unanuka au?
 


Tatizo kubwa kwetu binadamu ni kumuona mwenzako ananuka mdomo na kumuonea aibu usimuambie....mara nyingi mtu anaponuka mdomo hata yeye mwenyewe anakua hajitambui kama mdomo unatema..wewe uliyembele yake ndio unapata shida...unavumilia hiyo kero pasipo kumuambia..hii humfanya anayenuka mdomo kutochukua hatua yeyote kuondoa hilo tatizo sababu yeye anajua hana tatizo lolote kwenye kinywa.. na anaendelea ku believe kabisa kua mswaki wa mara moja tu asubuhi una msaidia sana na mdomo haunuki kabisa..kumbe mawazo yake ni tofauti na hali halisi....kumbuka miswaki tunayopiga huondoa uchafu kwa asilimia chache tu...na mbaya zaidi kama utakua hupigi usiku kabla ya kulala..maana unakua unatengeneza ukumbi wa bakteria kushambulia fizi zako na kuanza kutengeza harufu mbaya bila ya wewe kujijua........

Tunapokua tuna kiss..basi hapo ni siri nyingi sana hufchuka....sema ni uvumilivu tu ndio unaotawala..ila laiti tungalikua tunaambiana ukweli kuhusu hali ya vinywa vyetu nafikiri matatizo kama haya yangepotea kabisa...kwa sabubu sio shughuli kubwa kufanya kinywa chako kisiteme tena.......nenda kwa dokta anakusafisha meno unapewa ushauri uwe unapiga mswaki zaidi ya mara moja kwa siku na uwe una tumia mouth wash baaasi... shughuli imeisha na uta kua una smile always with confidence....
 
Why no? She needs to maintain her cleanliness.
Vitu vya kutumia ni vingi tu.
Aende kwa dentist ataelekezwa.
**** mouthwash, she can chew gums zenye strong flavours like mint etc.
Au hajijui?
It's a matter of handling things the right way!
Unapokuwa na tatizo, unatafuta suluhisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…