Sawa Baloteli..ila mimi
nitadekeza tu..acha anishinde!! Kudekeza kuna raha yake bwana...wewe
ukae na jitu kamundu halideki wala hainogi!!!
tatizo wanaume wengi wa kibongo siyo romantic madai hawaendekezi utasha...hata mtu kuwa mbunifu anashindwa yanabaki majungu tu ooh mambo ya kugeza wazungu..
Kama wanawake wengine wabadilikavyo kwenye ndoa hali kadhalika na wanaume wanabadilika..ndiyo maana kuna kuvumilia, kuwasiliana na ku-compromise mambo mengi..ukibaki kuiga ya wengine ndoa inakuwa ngumu. kumbuka matatizo ya ndoa A ni tofauti na ya ndoa B..hata kama ni sawa lakini jinsi ya kutatua hayo matatizo ni tofauti sana japo wote wapo ndoani.
wana jf mna mambo sana nyie.........
Ishi maisha yenu muwezavyo.......
Kabla ya ndoa chunguzaneni vya kutosha........mambo ya kujuana ndani ya mwaka mmoja mnafunga ndoa yana matatizo.....
Na ndoa huwa hazifanani kila moja ina style yake..... Chezeni kutokana na midundo ya ndoa zenu
tatizo wanaume wengi wa kibongo siyo romantic madai hawaendekezi utasha...hata mtu kuwa mbunifu anashindwa yanabaki majungu tu ooh mambo ya kugeza wazungu..
Kama wanawake wengine wabadilikavyo kwenye ndoa hali kadhalika na wanaume wanabadilika..ndiyo maana kuna kuvumilia, kuwasiliana na ku-compromise mambo mengi..ukibaki kuiga ya wengine ndoa inakuwa ngumu. kumbuka matatizo ya ndoa A ni tofauti na ya ndoa B..hata kama ni sawa lakini jinsi ya kutatua hayo matatizo ni tofauti sana japo wote wapo ndoani.
Sawa Baloteli..ila mimi nitadekeza tu..acha anishinde!! Kudekeza kuna raha yake bwana...wewe ukae na jitu kamundu halideki wala hainogi!!!

Kudeka kuna difinisheni pana mno, integemea na muhusika anavo kudifine. Deko na uvivu ni majirani mno kiasi cha mmoja kutafsiriwa kama mwingine!
Hahahaaaa.... Mweleze ndugu yangu...Mwanamke kudeka muhimu..
hatujakataa mwanamke kudeka bt point aliyosisitiza ni kua asizidishe manake hata yeye mwenyewe mwanamke atasahau hata kumhudumia mumewe..