Eti ni tabia Gani za watu wa Dar ukizifanya mikoani watakuona mshamba?

Eti ni tabia Gani za watu wa Dar ukizifanya mikoani watakuona mshamba?

Mboka man

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
478
Reaction score
1,647
Hebu tuambiane ni tabia Gani ambazo watu wa Dar ambazo wanazo ukizifanya mikoani watakuona mshamba
 
Kuvaa nguo special kwanzia chin ad juu
Tena zle jeans na t shirts za rangi rangi
 
Tumesoma wote najua ongea yako,,,ulishaenda dar after 5 mnths umerudi ulishabidili talking style sijui unaongea ki-dar,,,aisee hawa watu huwa wananichefua.
 
Kujitawazia Tishu baada ya haja ya kubwa.
Mmh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wazungu wapo hivyo wajinga na wachafu sana,utaratibu wa kuosha mduku nadhani umeanzia Arab but kwa kuna Wazungu wao ni tissue tu wakati wa kuoga ndo anagusa na maji.Nadhan vijana wa Dar wako kizungu zaidi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilisnda Mkoa Fulani Sasa Nilikua nimemiss Mahindi ya Kuchoma Nikamulza mwenyeji wangu akanipeleka wanakouza Mahindi nikanunua Sasa Nikauliza Kama Kuna Chumvi na Ndimu? Walinishangaa Wakanicheka Wakaniuliza Kwani Dar Mnakula ga Mahindi na Chumvi na Ndimu Nikawaambia Ndio Wakasema Sisi Washamba
 
Back
Top Bottom