Eti.... Nimuoe Mdogo wako!!!!!

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
12,529
Reaction score
13,494
Habari za weekend!
Nilikuwa namind business zangu, baada ya kupata upako kutoka church baada ya mahubiri ya padre mkongoman from Uvira. Nimekula ugali wangu kwa mchuzi na mtindi huku nikisurf chit chat ya JF kwa kimobile changu (Umeme haupo) ghafla screen ya Simu ikawa black na SMS ikadisplay; ikisema hivi:-
"dada shikamoo; Y kaja (place) kamuona Mdogo wangu, kasema anataka kumuoa. Sijui unanishaurije ukizingatia nilishatembea naye"

Hasira zikanipanda na siku imevurugika!
Huyo Y (ni initial la jina lake halisi) ni mbeba mabox wa marekani nafikiri anatitle ya Dr. before his name; anahangaika kwenye majukwaa kuomba msaada kwa kusema sisi ni maskini; ni limbukeni Fulani ambaye anajifanya Kiswahili hajui. Utamsikia 'unaitwa ganii?' na vitu kama hivyo.

Huyo mdada ni naive na unexperienced; alidanganywa ndoa na huyo mbeba mafile, akanchezea na kumtelekeza; sasa amepata mchumba mwingine na wanaishi vizuri tu huko (place), ni mjamzito muda huu so ikalazimu amlete mdogo wake ili amsaidie, ndio huyo Y baada ya kumuona ameamua kuwadharililisha kiasi hicho.

Kama Y umo humu, l am not happy kabisa, nitakutafuta nikupe live.

Usidharau wanawake kiasi hicho; hivyo vivolunteer unavyovileta umeshindwa kuviuzia huo upuuzi? Punguza ushamba na ulimbukeni; hujifunzi tu?

I am sorry kwa kuwachosha wana MMU; ila kaniharibia jumapili yangu!
 
Da kaunga naona kweli haupo katika hali nzuri. Pata glass moja ya maji ushushe hasira. Nitarudi.
 
Reactions: Mbu
Aiseeee. . .
Sasa kwanini huu ujumbe usingemtumia hiyo Wai kwa simu/email au hata PM?
 
aisee pole saana....

watu wa kigoma bana...lol
 
Da kaunga naona kweli haupo katika hali nzuri. Pata glass moja ya maji ushushe hasira. Nitarudi.

Yaani kaniudhi sana; Asante mwaya kweli nahitaji glass ya Maji! Who does he think he is, natamani nimianike kila kitu!
 
Aiseeee. . .
Sasa kwanini huu ujumbe usingemtumia hiyo Wai kwa simu/email au hata PM?

Sijui kama yumo humu; ninaitafuta no yake ya Simu ili niongee naye live. Huko (place) alipo mtandao ni shida, mpaka uende beach ndipo unapata network. Akija town tu ninaye!

Nimeiweka hapa kushare/kureliease my Hasira for now!
 
pole sana watu wengine huwa hawana sura za haya
 
Sijui kama yumo humu; ninaitafuta no yake ya Simu ili niongee naye live. Huko (place) alipo mtandao ni shida, mpaka uende beach ndipo unapata network. Akija town tu ninaye!

Nimeiweka hapa kushare/kureliease my Hasira for now!

Owwwkey. .

Ila kama unataka kuondoa hasira kweli fanya kuongea nae au uamue kumpuuza. W
 
aisee pole saana....

watu wa kigoma bana...lol

Yaani namuhurumia sana huyo binti, she is so humble n innocent; kila anachoambiwa anaamini.
Nimesharushiwa no ya Y ngoja nimpe live!
 
Sijui kama yumo humu; ninaitafuta no yake ya Simu ili niongee naye live. Huko (place) alipo mtandao ni shida, mpaka uende beach ndipo unapata network. Akija town tu ninaye!

Nimeiweka hapa kushare/kureliease my Hasira for now!

...take it easy Kaunga, wa kukalishwa chini ni huyu mdogo mtu anayerubuniwa na shemeji.
Pole sana, hapa ni busara zaidi itumike, "sikio la kufa halkisikii dawa!"
 
Maskini na binti wa watu kakasirika; namuimagine kakaa beach naona SMS zinazidi kumiminika. Anasema pesa zake ndizo zinazompa jeuri awachezee wote; ana jiuliza hivi kasoma kweli (phd holder)
 
...take it easy Kaunga, wa kukalishwa chini ni huyu mdogo mtu anayerubuniwa na shemeji.
Pole sana, hapa ni busara zaidi itumike, "sikio la kufa halkisikii dawa!"

Ndicho nilichomshauri; hakutaka kumwambia Mdogo wake, nimemwambia amweleweshe vizuri; huyo kijana si muoaji kbs ni muharibifu tu. Nashindwa hata kumdescribe; l am sure masister du wengi wanamtolea nje kwa ulimbukeni na uarrogancy wake! Hata aliyemtoa (mfadhili) hataki hata kulisikia jina lake likitamkwa!

Anyway Mbu Asante kwa ushauri!
 
yaani huwa nasahau na wewe ni wa huko
uko tofauti kidogo na ndugu zako lol

hahaha,....hebu usinipake mafuta kwa mgongo wa chupa bana...
mijitu ya Tabora utaijua tu, japo wewe unatofauti kidogo!...

...sasa huyu phd holder, Dr 'why' kwanini lakini anafanya mambo
ya ajabu ajabu yarabi? kabila gani huyu aso'haya wala kuona vibaya?

Hata wazaramo wamestaarabika!
 
ha haa haaa haaaa
lol..............
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…