Eti.... Nimuoe Mdogo wako!!!!!

@Mbu
Huyo jamaa ni wa Kiganza tena anavyodescribe kwao kwa (Kiswahili cha kimarekani) "ukifika mjini chukua taxi mpaka Kiganza au daladala from mwandiga to kiganza, ulizia white house utaletwa hata na mtoto mdogo"
 
poleni sana,

Yaonyesha huyo jamaa anatongoza kwa gear ya "..nipe mchumba'ngu, usiogope mimba, nitakuoa,..." mambo ya kizamani...!!! Wanawake wengi wanahitaji kukumbushwa uongo huu jamani,...otherwise 'desperados' wengi wataendelea kulizwa!
 
Si hizi kila kitu kabila ehhh?
Sijui wanaotukana wao wanatokea kabila gani.
 
Yaani namuhurumia sana huyo binti, she is so humble n innocent; kila anachoambiwa anaamini.
Nimesharushiwa no ya Y ngoja nimpe live!

Tena mchane live kabisa huyo wala usimuonee haya, na huyo binti nae inakuwaje anaamini amini vitu kizembe hivo......watu nuksi eti!!!
 
Tena mchane live kabisa huyo wala usimuonee haya, na huyo binti nae inakuwaje anaamini amini vitu kizembe hivo......watu nuksi eti!!!

Kamekulia kijijini kabinti kawatu, kakaja huku (place) kwa uadilifu na uchapakazi (kalianzia kupikia wazungu) kakapata scholarship kakaenda chuo, sasa hivi kameaajiriwa! Y alikadanganya danganya eeh; promises za kukapeleka USA n.k. Ila sasa naona kameanza kukua na kuijua dunia!

Ila huyo Y siyo kabisa.
 
Kweli hasira hasara, make kwa kutaja tu GOSESO, basi na sura yake akitabasamu na shule aliyosoma vimekuwa wazi.
Anyway, hili ndio jando na unyago la ukubwani kwa wale ambao hawakufundwa vizuri
 
Kweli hasira hasara, make kwa kutaja tu GOSESO, basi na sura yake akitabasamu na shule aliyosoma vimekuwa wazi.
Anyway, hili ndio jando na unyago la ukubwani kwa wale ambao hawakufundwa vizuri

Aah; hivi nilitaja hiyo kitu! In that way wanaomfahamu huenda watamshauri!
 
Hivi hako kabinti hamuwezi mkakapatia hizo sms kakazisoma! Aaarrrrg huyo jamaa na madharau atakatesa tu, mie ningekuwa nawafahamu ningemharibia mwanzo mwisho!!
 
Hivi hako kabinti hamuwezi mkakapatia hizo sms kakazisoma! Aaarrrrg huyo jamaa na madharau atakatesa tu, mie ningekuwa nawafahamu ningemharibia mwanzo mwisho!!

Sijui kama amekaaproach yet; amemwambia X wake (dada wa huyo binti) kuwa anataka amuoe. Nimemshauri amwambie kila kitu mdogo wake. Ukiangalia profile yake, kama humjui utamuona bonge la kijana kumbe ni ass...e tu!
 
Si hizi kila kitu kabila ehhh?
Sijui wanaotukana wao wanatokea kabila gani.

...lol...haya makabila ndio mzizi wa mila na desturi zetu bana...
hayana uzamani wala siku hizi, unless unakumbana na jitu mchanganyiko wa
makabila kiasi cha kupoteza 'adabu' za asili ya kwao...
 
...lol...haya makabila ndio mzizi wa mila na desturi zetu bana...
hayana uzamani wala siku hizi, unless unakumbana na jitu mchanganyiko wa
makabila kiasi cha kupoteza 'adabu' za asili ya kwao...

Ebwana weeee. . .
Enhe embu niambie wewe lakwenu lina tabia gani niwatenge!!
 
Sijui kama amekaaproach yet; amemwambia X wake (dada wa huyo binti) kuwa anataka amuoe. Nimemshauri amwambie kila kitu mdogo wake. Ukiangalia profile yake, kama humjui utamuona bonge la kijana kumbe ni ass...e tu!

Amwambie kabisa tena live live bila kificho! Kama mtu mwenyewe anajulikana kabisa hamna haja ya kummezea, mdogo wenu anatakiwa ajue each and everythhing!
 
Jioni njema,mlale mapema kwa ajili ya kuanza kazi kesho.
Kumbuka ulevi nooma
 
Sikufikiria; ngoja niedit. Nilikuwa na hasira sana by that time! Asante kwa ushauri.
 
Jioni njema,mlale mapema kwa ajili ya kuanza kazi kesho.
Kumbuka ulevi nooma

Tutajitahidi mwaya, ila the idea ya kuwa kesho kazini, inaniput off kabisa. LOL
 
pole mwaya. Ongea na mdogo wako pia,asijerubuniwa

sio mdogo wangu, ananiheshimu na kuniamini kama sister wake; l am not related to her whatsoever. Thanks nimeongea naye; na namtafuta huyo Y kwenye simu sijampata, lemme write him a long email and put a link of this uzi ili aone watz wanavyoona kitendo chake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…