Eti.... Nimuoe Mdogo wako!!!!!

kwa mtizamo wangu
mtu akiwa na hasira hatakiwi kuandika vitu
vinaweza kuja tumiwa against you baadae
hasa kama unayedeal naye ni mtu smart

kwa mtizamo wangu
mtu akiwa na hasira hatakiwi kuandika vitu
vinaweza kuja tumiwa against you baadae
hasa kama unayedeal naye ni mtu smart

Hasira zimepungua. l will see what l can do, naweza hata kuongea naye ana kwa ana; l am sure in that way itakuwa bora zaidi. Ila mbona hucomment kuhusu kitendo chake cha kumtumia binti wa watu na bado akaonesha dharau zake za kutaka kumchezea mdogo wake?
 
Simsapoti hata kidogo
niliona watu wengi wamechangia hilo
ndo maana nikagusia vitu ambavyo wengine hawakuvigusia

that's too low
kwa mwanamme aliye na upeo
kuchanganya mtu na mdogo/rafiki yake

huyo si mme kwa huyo binti
wajibu wako ni kumsaidia aone hilo
akikataa, mwalimu mzuri wa mtu ni experience ya maisha.

Take a deep breath Kaunga. Hasira ni hasara. Give them some room. Zungumza nao wote baada ya kutafakari ni nini kinakuagitate na baadae anza kuwashambulia. Tumia Reverse Psychology on them both and this way utafanikiwa azma yako.
 
@kongosho
Yes u r right sio mume, so hakuna mediation or anything. My issue was dharau alizoonesha for the poor girl na mdogo wake; kisa ni mbeba mabox!
He is surely going to hear from me!
 
Take a deep breath Kaunga. Hasira ni hasara. Give them some room. Zungumza nao wote baada ya kutafakari ni nini kinakuagitate na baadae anza kuwashambulia. Tumia Reverse Psychology on them both and this way utafanikiwa azma yako.

Thanks Doctorz, nitaongea naye nikiwa nimetulia kidogo. Ila he is so arrogant yaani; yaani ukiwa naye utaboreka kwa ushamba na ulimbukeni! Damn l despise him!
 
Pole sana shosti,
Out of topic: Mi nilikuwa nadhani we ni mwanaume kumbe sio, kweli jf raha tupu!!!
 
Pole sana shosti,
Out of topic: Mi nilikuwa nadhani we ni mwanaume kumbe sio, kweli jf raha tupu!!!

Ngoja nitaweka avator ya mmodel fulani! LOL
 
Haya na sie wa Tabora tumekukosea nini mpaka utuite mijitu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…