Eti, nini maana ya msemo, Mgaa gaa na Upwa hali wali mkavu?

Eti, nini maana ya msemo, Mgaa gaa na Upwa hali wali mkavu?

Mtembea bure, si sawa na mkaa bure,
Mguu wa kutoka, mtume kauombea.

Kugaa gaa na upwa, yaani kutembea ufukweni.. Hutokosa cha kufanya kitoweo.
Huwezi kula wali mkavu.
Asante maana na mimi sijawahi elewa maana yake, maneno yake ni contextual/yanaeleweka na watu wa mahali fulani tu. Mi huwa naelewa hali wali mkavu, huko nyuma sijui.
 
Asante maana na mimi sijawahi elewa maana yake, maneno yake ni contextual/yanaeleweka na watu wa mahali fulani tu. Mi huwa naelewa hali wali mkavu, huko nyuma sijui.
Nadhani hii sana ni kwa watu wa pwani.
 
Upwa linatokana na neno pwani . Kugaagaa ni kutembea pembezoni mwa bahari hivyo si ajabu ukaokota Samaki kikawa kitoweo
 
Back
Top Bottom