tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Inauma sana jamani,kumpenda mtu kama anavyokupenda then kuja kuambiwa alikuwa na maana sana kipindi ukiwa na maumivu ya kuachwa na sasa humpendi....mueleweshe tu na zaidi sitisha vitu ambavyo mlikuwa mnafanya pamoja kama kissing,sex,outings na mengineyo,ataelewa tu with time....nakusihi usimuumize zaidi kwa maneno ya kashfa au hata kumuonyesha mwanamke mwingine....mheshimu tu na muelewe kuwa anapita kugumu nae kwenye maisha yake.......!!!
leave her nice and slow...vinginevyo utakuja juta coz moyo wako huja ridhika naendo hivyo ukiwa nae utakuta una kasirika kasirika tu bila sababu
Kumuacha mtu "nice and slow" ndio kupi huko? Halafu maumivu yake ya kichwa yatapungua?
hahahahaha lol
Vijana wasaiv tunambwembwe sana,
Sijui tunataka nini katika mapenzi, au tunatamani mapenzi yatupe nini zaidi.
Kwa case ulivyotuambia, ushauri wa busara unaweza kuwa umwache tu mtoto wa watu.
Lakini kuna ukweli kwamba ni bora sana kupendwa kuliko kupenda.....
Maamuzi katika maisha yetu tunaamua kwa akili zetu na tunajenga wenyewe,
Mapenzi yanakuwa mabaya na kuona mapungufu ya mwenzio unapoanza kulinganisha,
Ila tena ukweli mmoja ni kuwa mara zote si rahisi sana kupata mtu wa kukuambia
"nakupenda" na akaweza kuisimamia kauli yake kwa vitendo........
Mwache binti wa watu, ila utakuja mda utahiraji upendwe japo kidogo tu
Kama kwake ni bora kupendwa kuliko kupenda na mwenzake pia anastahili hivyo hivyo!!Acheni ubinafsi....kama humpendi mtu mwache akapendwe huko mbele kwa mbele!

Mwache binti wa watu, ila utakuja mda utahitaji upendwe japo kidogo tu
Inaonyesha wewe ni staki nataka.hebu maanisha,na umwambie kwa msisitizo usimpotezee muda bint.
Pole kaka. Nachokushauri kama huna mapenzi nae kuwa makini. Kuna wadada wakipenda mtu na ameshajua (maana umesema umemwambia) huna mapenzi nae, anaweza kutumia ujanja wa kijinga kukukamata. Kama bado una do nae usishangae anakwambia ana ujauzito wako. Epuka kuleta watoto wa nje ya ndoa duniani. Ninaona kila dalili ya huyo dada kujishikisha mimba.
Kuna mdada amezaa na shemeji yangu shem hamfeel kabisa ingawa wakati wanazaa mapenzi yalikuwepo. Basi huyu mdada ananambiaga yaani shem wako akikosea tu kukubali ku do na mimi basi nazaa mtoto wa pili kwani nampenda sana na sitaki kuzaa na wanaume tofauti.