Eti Nyie Dada zetu hii nikweli au mnasingiziwa?

Kaka Kiiza pale Trinity kuna vyumba pale pale vya elfu hamsini,wake za watu wanahudumiwa sana mitaa ile.
 
Hivi hii ni ishu mpya kweli?
Mboni tokea enzi hizo ni hivyo?

Mkuu jamaa anawauliza madada, hebu madume tukae pembeni labda kuna kaukweli hapo au lah! Wapi Preta, wapi Blackwoman, tunataka majibu.
 
baada ya hapo watakuja wakuu wa idara,wakurugenzi,wake wa makatibu wa wizara mara wa mawaziri etc

heeh heeh heeh ikifika hapo na mm nitaopoa ka muhishiwa ka magamba then naenda kukabaka na washkaji.
 
kwahiyo na wewe una wako. Inapendeza kwa kweli, maana huwa nikimuangalia my wife, nasikia uchungu sana kama kuna dume linaweza kumkula. For sure nikigundua nitatoa talaka, maana sitaweza kabisa kuvumilia kwa jinsi ninavyompenda.

OMBA MUNGU TUU Ndugu yangu dunia ndiyo inaisha hivyo ila tambua yapo mengi yanayosababisha wife agawe . Wale wa umasikini ni wengi ila wa tamaa ni wachache na wanaogawa kwa sababu ya kukosa malavidavi ni kiasi
 
.....mambo hiyo iko sana tena toka zamani,ni kuwa na ratiba nzuri tu
 
Mimi najua tangu miaka ya 1990 wanafunzi wa IFM walikuwa ndo zao sanaaaaaa..Kwa hiyo yawezekana hako kamtindo wanaenda nako mpaka maofisini kwao..
 
jamani mbona mambo haya siku hizi yamehalalishwa kabisa......nimeanza ofisi mpya nimekuta hapa ofisini mambo haya yameingia level ya wake na waume za watu.....in a way mtu anajulikana kama Mume wa Y na pia ni boyfriend wa X, tena juzi tu imetokea huyo Mume wa Y akawa anamtongoza tena demu mwingine(Z) yule z akajibu mbona uko na X ukiacha nae let me know......yani nilishangaa sana kuona nafasi ya mke (Y) haipo kabisa wala sio threat kwa hao wadada....nikajaribu kufanya uchunguzi wangu na kugundua kuwa wengi wa hawa watu hapa ofisini ndoa zao ni moto wa kuotea mbali so wanawake wako stressed wanaamua kutafuta mahali pa kupozea,kweli inasikitisha sana hata sijui tutaponea wapi na hii dunia....Mungu atusaidie
 
Eeeh Mungu uturehemu sawa na wingi wa fadhili zako.
Maana tumekutenda dhambi wewe peke yako na kufanya maovu mbele ya macho yako!!
 
Mimi naona siyo stress ni fashion na zaidi ni haya mambo ya uzungu yameharibu sana kwani mimi naona watu na hizi happy hour za kioffice ni njia ya kuwapata wanawake hazina dili wewe mkeo akikwambia leo tunaenda bagamoyo tuna pati yakiofice kaa chonjo kule ni miduara kunywa na kuishia guest maana unaambiwa tumetayarishiwa usafiri!!
Nawake zawatu wamepoteza imani akiwa na mumewe anajua mkewe anaduu sehemu naye anajiachia!1Hapo noma ndo inaanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…