Utopolo mmeanza kuchokoza Dolla, Ikulu siyo Vodacom mjue muanze kusema mnataka doa jeusi🤣🤣🤣Kama ni kweli ina vazi jekundu, basi hakushauriwa vizuri. Tanzania haina doa jekundu pahala, lakini pia ziko timu kubwa sana hazina doa la aina hiyo. Kuna watu wanaweza kusita kuiweka kwenye vyumba na ofisi zao kama itakuwa na wekundu wa waziwazi
Haha..Kuna watu wanaweza kusita kuiweka kwenye vyumba na ofisi zao kama itakuwa na wekundu wa waziwazi
Una ofisi ya makeup? Unaonyesha you are good katika uremboIle picha ina tatizo moja tu, lipstick nyekundu ambazo hata hazijapakwa kwa usawa. Angepiga bila lipstick au akaweka ya maji isiyo nyekundu inayoweka layer ingefaa zaidi.
Girlfriend wangu ana makorokoro yale ya makeup na lisanduku lake. Huwa anawachora wenzake na kwa vile baadhi ya vifaa nilimnunulia mimi basi najikuta nikiona mtu najua huyu kazingua, huyu kapatia.Una ofisi ya makeup? Unaonyesha you are good katika urembo
Aisee mna manenoooooIle picha ina tatizo moja tu, lipstick nyekundu ambazo hata hazijapakwa kwa usawa. Angepiga bila lipstick au akaweka ya maji isiyo nyekundu inayoweka layer ingefaa zaidi.
Hebu ona!!! Hapo kuna doa lisiloeleka hapo?Ila Yanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787],mmeanza kumpangia rais hadi mavazi,tunajua ligi imewashinda mnataka kuwa chama cha siasa?[emoji16][emoji16][emoji1787]View attachment 1733388
Toa ushauri wa bure usiposikilizwa basi basi kojoa ukalale, umeshatimiza wajibu wako.Ile picha ina tatizo moja tu, lipstick nyekundu ambazo hata hazijapakwa kwa usawa. Angepiga bila lipstick au akaweka ya maji isiyo nyekundu inayoweka layer ingefaa zaidi.
Anaekuambia usikombe mboga ana nia njema, anataka ushibe. Kama akiona inafaa kuvaa hivyo basi aendelee, lakini rangi ziko nyingi angeweza kuchagua nyingine akitakaYanga mna mateso sana hii dunia.
Rais kuvaa nyekundu tu mmeshaanzisha uzi?Mlitaka avae Madeira yenu?
Yanga ilikuwepo tangu 1935 na umuhimu wa Yanga nchini unajulikana na values and philosophy yake vinafahamika wazi. Kama wakilazimika kuiweka ofisini wataiweka tu watafanya nini, lakini.....Najiuliza Uto wataweka picha ya Rais kwenye ofisi zao! maana hata nembo ya Voda waliikataa 😂 Nasubiri kuona watakavyokataa picha ya Rais🤣🤣
Mawazo ya kishirikina tu hayo!!!!Kama ni kweli ina vazi jekundu, basi hakushauriwa vizuri. Tanzania haina doa jekundu pahala, lakini pia ziko timu kubwa sana hazina doa la aina hiyo. Kuna watu wanaweza kusita kuiweka kwenye vyumba na ofisi zao kama itakuwa na wekundu wa waziwazi